Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Point yako ni nini..? watoto wakike wasiruhusiwe kufanya kazi za ulinzi au wasipangiwe majukumu yaoUshasema ni kwa kutaka sasa mpeleke wa kwako kama atakuwa na choice hiyo
Hatujui kesho yetu omba uendelee kuwa na kipato na uhai.Ni sawa ila sio kwa mtoto wangu siwezi kumtoa sadaka akawe mboga huko na tabu juu
Soma vizuri utaelewa usisome heading tuPoint yako ni nini..? watoto wakike wasiruhusiwe kufanya kazi za ulinzi au wasipangiwe majukumu yao
Wangu akikua atakwenda suala la machaguo ni lake binafsi
Kweli kabisa, sijawahi kuona askari wa kike kapangiwa lindo kama bank, kwa viongozi nk.Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wako jkt aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Ni k well kabisa, kuna kazi tunafanya tuu sababu hakuna option na inabidi zifanyike.Kitanda usichokilala hujui kunguni wake! Kwa kifupi hujui wala hauna ufahamu na ulisemalo. Hakuna mzazi anayependa Binti yake ataabike au afanye kazi za aina hiyo ni kwamba wakati mwingine hakuna chaguo inabidi iwe hivyo tu.
Wanawake wana umuhimu wao kwenye vyombo vya ulinzi mkuu. Wanatumika kwenye mambo ili kurahisisha kazi.Watoto wa kike ni wa kulindwa mkuu
KabisaWazazi wengine hawapo serious mkuu wana roho ngumu sana mimi siwezi
Hebu tuongelee mtoto wako, upo tayari atumike kwenye hizo mamboWanawake wana umuhimu wao kwenye vyombo vya ulinzi mkuu. Wanatumika kwenye mambo ili kurahisisha kazi.
Kama baba nimeshafanya kila jambo uwezo umefika mwisho. Kama tumeshakua huru kuwaachia nao wajichanganye basi tusije kushangaa siku moja wanasukuma mikokoteni nao.Wewe kama baba umefanya nini kumsaidia huyo mtoto hadi awe hivyo acha kukwepa majukum yako
Endelea kupambana mkuu umtoe huko bora umfungulie mgahawa au kiosk auze mboga mboga sio ulinzi kwa haya makampuniKama baba nimeshafanya kila jambo uwezo umefika mwisho. Kama tumeshakua huru kuwaachia nao wajichanganye basi tusije kushangaa siku moja wanasukuma mikokoteni nao.
Kazi za ulinzi tunabana, mwanzo ilikua ukondakta. Angalia jinsi tunavyoenda.
Ndio maana nachosema hukielewi. Nimekwambia nimepambana nimefikia hapo kwa maana ya yeye mwenyewe hawezi kukaa kupika pika, au kuuza vinywaji.Endelea kupambana mkuu umtoe huko bora umfungulie mgahawa au kiosk auze mboga mboga sio ulinzi kwa haya makampuni
Kwa wao wanasema lindo la usiku wanakuwepo wanaume. Wao ni mchanaWangoje lindo la usiku uwaulize tena hilo swali
Kuna kazi nyingine tunawalazimisha tu na wao wanajikaza mbele ya camera kunesha wanaweza ila kiuhalisia hawaweziUmesahau wale mabinti wa ndege za kivita za israel zilizoishambulia iran?. Ila sio poa, kuna hawa wacheza mpira wa miguu ndio utata zaidi
Endelea kupambana umtoe hapo simkatishi tamaa naongea uhalisia na wewe umemleta duniani una wajibu huoNdio maana nachosema hukielewi. Nimekwambia nimepambana nimefikia hapo kwa maana ya yeye mwenyewe hawezi kukaa kupika pika, au kuuza vinywaji.
Hakuna asiyependa maisha mazuri ila kuna muda kila unachojaribu hakiwezekani basi inakua aende huko huko na yeye unamuona yuko happy. Muhimu kuendelea kuwa support usimkatishe tamaa hata kwa hicho anachokifanya halali
Sawa mkuuEndelea kupambana umtoe hapo simkatishi tamaa naongea uhalisia na wewe umemleta duniani una wajibu huo
Nimepita huko and above, kuna sich anomaly but si kubwa kama inavyokuzwaKwanza mi huwa nashangaa sana hata wale wanaoruhusu watoto wao wa kike kupitia jeshi baada ya form six,.....hamna cha ukakamavu wanaoupata huko zaidi ya kwenda kuwa MBOGA za watu tu,......🚮🚮