Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

"Siwezi nikaishi dar, kwanza sipendi joto sana, napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani, vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa"

Kwa uandishi wako, wewe ni jinsia ya ke au bwabwa unatafuta wateja
 
Ukishindwa maisha Dar, usitegemee utafanikiwa sehemu nyingine. Walioshindwa maisha kama Arusha wanakuja Dar na wanafanikiwa. Misheni zote zipo Dar.
 
Sasa we uko kakonko kigoma, unakula migebuka na wakimbizi utaiweza dar wewe?
Magufuli mwenyewe alisema, kidume kitakachokaa dsm hadi 2021 ni kidume kweli, sisi ni vidume uko mikoani ni mahanisi tu
 
Ukishindwa maisha Dar, usitegemee utafanikiwa sehemu nyingine. Walioshindwa maisha kama Arusha wanakuja Dar na wanafanikiwa. Misheni zote zipo Dar.
Hakuna kitu kama hicho,hii dunia nikubwa sana binadamu tunatakiwa tutafute maisha sehemubpopote sio dar tu
 
"Siwezi nikaishi dar, kwanza sipendi joto sana, napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani, vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa"

Kwa uandishi wako, wewe ni jinsia ya ke au bwabwa unatafuta wateja
Njoo ukutane na bolo la kimasai
 
Kila mtu Ana maono yake mzee, walioko dar wengi tumekuja tu kutafuta , na hatujazaliwa hapa. Hayo maisha unayoona n mazuri huko kuna watu huku pia wanayaishi mara 200 yako . Pesa ndo kila kitu, mm mwenyewe nimetoka huko unapopasemea mzee lakini dar Acha iitwe dar . Hapa haihitajiki nguvu n akili mingi , Acha kupasifia arusha n pakawaida sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…