Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Mm niwa Arusha umesema ukweli mtupu
 
Watu wavivu hawawezi kuishi jijini Dar es salaam
Mbona vijana wa dar kazi ZAO SASA YANI UTASHANGAA,MIMI NIUZE PWEZA??AU NIPAKE KUCHA RANGI??
Joto ni kwa vile huna hela,nyumba in ina AC,gari AC,ofisini AC shopping mlimani city joto liko wapi ,nasisitiza tafuta hela ,niko Qatar viwanja vimefungwa kupupwe hatari,nchi ya joto ila sijawahi kutoka jasho
Upo sehmu gani??
 
Wanaohitimu vyuo wote wanaenda kujibana daslam, sio kwamba wana ajira no, anaona aibu msomi kwenda kuishi kijijini/kwao!

wengi niliosoma nao niliwaacha daslam mpaka leo na hawana ajira.
mm nawaambia, kama huna kazi ya kueleweka mzee wafwa! Utazeeka unajiona.
mkuu,
ukipata mil2 nenda katafute fursa hata vijijini. Daslam mtu wa kipato cha chini, aisee!
chai tu aftatu, msosi aftano, kipato afkumi na tano/siku mmh

ok maisha popote
 
Agiza bia nakuja kulipa
 
Msituusishe watu Tanga kwenye Uzi wenu mmeshatudharau sana tumekaa kimya kila takataka Basi lazima mpeleke Tanga hatutaki shobo na nyinyi bata maji wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…