Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Umenikumbusha chaliii yangu mmoja alitoka chuga kafikia geto dar ,alifika mida ya ucku nikamwelekezaa ,geto mm cpikagi twenzetu kwa mamantilie hapo tule tusepe geto .
bwana bwana c tukaagiza ugali ,ule ugali ulivyofka mezan chaliii akaniuliza mbona ugali mdg sana ntashba kwel [emoji3][emoji3],mm nikamwambia ndio uku dar tunakulaga hvyo [emoji3][emoji3][emoji3].
Yaan ule ugali alikata tonge nne tu ukaisha then akaagiza mingine tena miliwi Akala jumla ugali 3 pekee .[emoji3][emoji3][emoji3]alafu ananiambiaa hapa angalau
 
Mzee kili kukuta kipi
nikawa natafuta chumba, vyumba vimeoza zunguka kawe tegeta vyumba vizuri vipo ila vipo mbali,

Sasa bana nikachukua chumba kimoja hivi kina tiles fresh, siku ya kwanza naamka asubuhi kukata gogo niende mishe nakuta mama mwenye nyumba amekaa kwenye kitengu cha choo, akafanya kunipisha, ukiwa chooni unafanya kila namna usitoe sauti

Kingine dar matumizi makubwa sana arusha nikipata 30 naweza sevu 20 au 25 lakini dar haiwezekani, kwanza akili inakuwa kama imekufa hivi,

Nikiwa arusha ubaridi saafi chakula cha kumwaga, hamna jam
 
Yani wewe bonge la boya,kwani kuoza meno ndo nini,arusha wanavaa makoti kwakuwa kuna baridi,au unataka tuvae vibuka vilivyokatwa? nakujipaka lotion? au kujichubua?

watu wote wasiona akili wapo dar kwakuwa hawaumizi akili kwenye biashara kazi kuigana, kila mtu msanii na story zao sasa simba na yanga?

mara diamond kaanzisha shirika la ndege tafuta pesa jambi sisi huku kazi zetu tunadeal nawazungu mangi.
Ukiniona. Imekuja dar jua nimekuja kwa sababu maalum sio nakuja kuishi mahali pakiwaki
 
Sasa hilo wakazi wa dar hawataki kuelewa,kijana ana miaka 18 chuga ana maisha manzuri kuliko kijana wa miak 28 dar, waje waone watoto wadogo wamejenga sio vijana wa dar umri mkubwa bado wapo kwao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unaona wewe unashobokea dar ila watu wa huku hawana habari na ny

Kwanini hampigi mswaki Hadi mnaoza Meno? Huko Arusha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Baridi ya nn ningeenda kuishi lushoto kila kitu kipo mazingira safi 90% vijana wanajielewa maji masafi Tena ya baridi 24 hours..hamna wavuta bangi wa ovyo wala omba omba kwa watalii
Mzee endelea kujipaka lotion
 
Umejaribu kuficha makasiriko yako ila umeshindwa. Dar sio ya kila mtu jombaa. Kama babaako aliishindwa we utaiweza wapi babu....endelea kusingizia hupendi joto tu huna namna maana kama dingilai tangu miaka ya 80 na hakutoboa akaishia kuhonga hatutegemei usifie Dar wala watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…