Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Nyie mna nn cha maana kwa mko wachache Tena wengi hawajielewi huoni kwamba dar imekushinda unarudi kijijini kwenu...sasa tambua sehemu ni tofauti ushamba wako wa mkoani usiulete pwani...Jamii yenu haijastaarabika dar ndo mpango mzima nyie kuomba omba wazungu ndo biashara si ujinga walienda nje wanasema watanzania ni ombaomba ...nenda Nairobi mmejazanaa omba omba kutoka kwenu huko waulize wakenya..wale vijana wenye addiction nyingi ni watu wa huko mkimaliza chuo mrudi kijijini kwenu😂😂😂😂

Mbona dar hawaozi meno iyo ni nembo yenu kutokana na maji yenu hayana usafi kiivyo kama mnavyodanganywa ni uchafu ndo maana mnaharibika..

Tambua huku Kuna watu wengi kuliko nyie wachache then tambua hamjiamini mpaka mushambulie ..usifananishe sehemu Ina kila kitu usafiri wa kila aina mpaka bandari na upumbavu wenu ..wa kuvuta mabangi.
 
Amesema kuwa wewe Ni demu dume ukija dsm utageuzwa Mboga
Iyo ni yake ila tuanze kuongelea mashoga wa huko waliopok kweny media kubwa na hao marasta waliolewa na wazungu..Mademu wa huko almost wakuja dar ndo wanajielewa wanashindwa tu ila hatunaga shobo na demu ana shape ya kibati miguu kama miwa
 
Nail it
 
Amesema kuwa wewe Ni demu dume ukija dsm utageuzwa Mboga
Mzee chugah hakuna hizo mambo yeye anatukana dalili za mtu asiyejiamini ni kupaniki,alafu mwanaume kaumbwa na koromeo la kumezea mambo,ukikuta mwanaume anatukana khaa ukijua ana element za uchoko lisemalo lipo mimi ni dume tena nawatoto mapacha,juzi nimemkamua dada yake mpaka akaomba poo situmii mkongo joo
 
Sijawahi ishi dar,nikija dar nakuja kikazi tu ,alafu maisha hayajawahi nishinda hata siku moja Mzee mimi sikai kwenye nyumba za kupanga kama wewe,chumba kimoja hicho hicho kama store,Mzee nina maisha sijisifii ila nakuambia
 
Arusha chumba elfu 10 kwaiyo unaweza kupanga hata nyumba nzima na hela nyingine ukanunua mashati Makubwa
 
Unajisifu kuvuta Bangi na kuvaa mashati Makubwa na kuoza Meno ?

we kijana wa hovyo!;
Acha tabia za kimama,nani kajisifia kuvuta bangi,kwanza unapotamka bangi uwe unatamka kwa heshima ile inaenda na spiritual ,bangi inavutwa na watu wenye heshima zao,kama hujui kausha maana umekaririshwa wewe
 
Ungekuwa na kifua ungekausha angalia sensa kwamba sehemu yenu Haina influence kubwa kama mnavyodanganya....hamna watu wengi fursa ni chache wengi arosto tu na hWana muelekeo wa Maisha ..kubebea wazungu wabegi tu...siwezi kuishi mkoa huo napenda kuvaa kila style ya nguo sio baridi ,napenda kujichanganya na washkaji katika mishemishe nakubali dar coz mishe zinaenda kila fashion iko mikononi ,milupo kibao sio kuvaa matambaa ya mitumba hayapitwi na wakati watu huku wanajipenda hata hao watu famous huko kweny wako huko kutwa sema ndo ivyo roho inawauma .
 
Acha tabia za kimama,nani kajisifia kuvuta bangi,kwanza unapotamka bangi uwe unatamka kwa heshima ile inaenda na spiritual ,bangi inavutwa na watu wenye heshima zao,kama hujui kausha maana umekaririshwa wewe
Hizo sio sifa za kujisifu Mtu mwenye akili timamu Ni bangi tu zinakuzidi Nguvu
 
Hizo sio sifa za kujisifu Mtu mwenye akili timamu Ni bangi tu zinakuzidi Nguvu
Bangi unapotamka jitahidi kutamka kwa heshima joo,shame sana unapotamka kijinga kama unavyofanya
 
Sijawahi ishi dar,nikija dar nakuja kikazi tu ,alafu maisha hayajawahi nishinda hata siku moja Mzee mimi sikai kwenye nyumba za kupanga kama wewe,chumba kimoja hicho hicho kama store,Mzee nina maisha sijisifii ila nakuambia
Rejea Uzi wako wa mwanzo ulisema sijui ulikuwa na investment zako ukafunga UKabaki za huko kwenu...Note: kwenu huko ni kijijini maana hata stendi hamna njoo utoa ushamba ukawaringishie wenzenu...if mngekuwa proudly na asili yenu hizi clinic za kusafisha meno ya kiarusha zisingejaa hapa dar na huko kweny zimekuwa dili sana.Tambua wadada wanakosa confidence 😂😂😂lazima demu awe na meno mazuri pia ni usafi
 
Nitajie kwanza msanii mkubwa wa chuga ambae hajakimbilia Dar then nenda kawaulize kwanza wasanii wenu waliokimbilia Dar wamekimbia nini chuga. Halafu uje uandike tena
 
Dar wanawake wengi now days,wanaume pia wamekuwa wanawake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Khaaa huyu nae 😅😅😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…