Hivi mpaka sasa sub-saharans bado tunaamini sababu ya tabu zetu ni wazungu?

Hivi mpaka sasa sub-saharans bado tunaamini sababu ya tabu zetu ni wazungu?

Mimi nafikiri ni mengi tumefichwa na tukaruhusu kufichwa zaidi

Ila naamini hadi sasa mnaelewa mchawi wenu ni nani
Wazungu walichangia na wanachangia.

Ila watawala wetu ndio wanachangia zaidi.

Na sisi ndio tunachangia zaidi.
 
Colonialism ilituathiri, yes… but baadhi yetu tumekuwa comfortable kuitumia kama permanent excuse ya failures zetu.
 
Tatizo ukoloni Mamboleo unaendelea.
Viongozi ni kama vivuli na vibaraka.
Mengine utawalaumu bure tuu.

Alafu kwa kuwasaidia tuu.

Nje ya ukoloni hakuna mataifa mengi ya Afrika.

Nchi ambazo zingetakiwa ziwepo ni haya makabila unayoyaona na kuyasikia.
 
Wazungu wanachangia kwa sababu ya ujinga wetu.
Wewe watu wamesoma wanaitwa maprofesa na hakuna hata uvumbuzi wowote wanafanya si bado ni wajinga!

Hata tube ya baiskeli tu mpaka itoke china au india na wakati tunaweza kulima mpira ukatumika kutengeneza hizo tube...
 
Ni upumbavu wetu wenyewe. No excuse. Kabla hata ya ukoloni tulikuwa nyuma sana kimaendeleo. Wakati mzungu anavumbua ndege mwanzoni mwa 1900 sisi tunadanganyana kuwa maji yanaweza kuzuia risasi.
 
Mtuache na misijdah yetu miikubwaa kama chapati kwenye paji zetu nyeusi. Mnatuonea gelee tukifa tutabadilika na kuwa waarabu.

Mungu walaani wayahudi na uwalinde wapalestina. Ukishamaliza kuwalinda wapalestina pita pita kwa wenzetu weusi Sudan usiwasahau.
 
Huyu kweli loose nut
 
Back
Top Bottom