CCM hawaachiani maji mezani J. K.uraisi wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who? kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
raisi samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike? je kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba) …
Yawezekana mpinzani wake akawa yeye Mwenyewe.uraisi wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who? kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
raisi samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike? je kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba) …
KarmaCCM hawaachiani maji mezani J. K.
Hata mimi ntampa kura yangu Trump 🙏🙏yeah D.Trump is back, God Bless D.Trump …
Kabisa !!2025 Dunia itakuwa Kwenye mabadiliko makubwa
Hii ni mbaya sana. Maana hujui adui ni yupi na rafiki ni yupi. Bora ungemuona sura. Ndio maana kina Jokate wanasema kuna watu wameanza kupita pita ila ni kina nani hata anaowaambia hawaelewiWatu sasa hivi wameamua kukimbiza mwizi kimya kimya broo......!!! Yani ukigeuka nyuma huoni anae kukimbiza....ila unaskia tu sauti ya mipigo ya hatua za miguu...!!! Very crucial technic brother.
Mpinzani wake mkuu ni kivuli Cha Magu!!Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
Yaaahh ndio ipo hivo, na kama vyama pinzani wataenda na hii style basi itawachanganya zaidi chama tawala. Na sometimes anadata zaidi akifikiria kwamba hata ndani ya chama chake kuna watu wana pambana kumtoa pale kimya kimya.....!! Ila tatzo ni kwamba hapati picha clear mpaka dk hii.Hii ni mbaya sana. Maana hujui adui ni yupi na rafiki ni yupi. Bora ungemuona sura. Ndio maana kina Jokate wanasema kuna watu wameanza kupita pita ila ni kina nani hata anaowaambia hawaelewi
Mpinzani wake mkubwa ni Magufuli. Magufuli will be back on 2025Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
Kina CHongolo, Ndugai na kinana hawamuachi! Wazee wa Chama kina Butiku wameshaandaa mtu wao!Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
HawajiaminiUrais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?