residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hahaaa.....uchawa na jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.PM achukue Maamuzi magumu aje CDM Hana Cha kupoteza, atachukua nchi mapemaa.....Hana kashifa ya wiziii ukiacha Uongo ambao unavumilika.