mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Duh 🙄 !!Mpinzani wake mkubwa ni Magufuli. Magufuli will be back on 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 🙄 !!Mpinzani wake mkubwa ni Magufuli. Magufuli will be back on 2025
No peace of mind ??! 😱🙄Hawajiamini
NEC yao, Polisi yao, Thiss Yao, MaDED wa kwao lakini Hofu Hofu Hofu imetanda.
Kula vitu vya dhulma.kuna gharama pia........Hofu
vyama vyenye dira, malengo, makusudi na madhumuni ya kujizatiti kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuwatumikia wanainchi, hakipoi wala kutulia kujipambanua na kujitambulisha kwa namna mbalimbali miongoni mwa jamii .....Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
Ni kazi ya wapambe tu yeye kama yeye hana mpinzani kwani hatogombea 2025.Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
Anajijua anatakiwa aachie ngazi ndio maana yeye na wapambe wake wanahangaika bure.Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa nani?
Rais Samia ni mwenyekiti wa CCM ndiye mkuu wa karibia kila mtu serikalini na kwenye chama pia, sasa mpinzani wa kutishia power yake ni nani hadi nguvu kubwa hivyo itumike?
Je, kuna yanayoendelea ndani kwa ndani?
2025/30 tuna raisi mpya (kikatiba)
Duh 🙄 !Ni kazi ya wapambe tu yeye kama yeye hana mpinzani kwani hatogombea 2025.
Vyama vya upinzani vimekuja na mkakati chonganishi na naona ni hatari sana kisiasa japo jamii inanufaika. Wakipata ishu wanaenda na ishu,mteule wa sekta husika (hapa wanagusa ya taaluma,kazi na maisha binafsi) na chama kabisa. Najiuliza kwa trend hiyo by 2025 nani atakuwa na credibility ya kumsemea? Yajayo yatatushangaza pengine.Yaaahh ndio ipo hivo, na kama vyama pinzani wataenda na hii style basi itawachanganya zaidi chama tawala. Na sometimes anadata zaidi akifikiria kwamba hata ndani ya chama chake kuna watu wana pambana kumtoa pale kimya kimya.....!! Ila tatzo ni kwamba hapati picha clear mpaka dk hii.
Ccm milele... Bnafs nataman upnzan washke nch lkn kwa hii nchi ya akna j.k, sjui januari magimbi ebana sijui chief mwanamke n ngumu sn ccm kutoka madarakan2025 hawapati kitu hao ccm
Kwenye hizi siasa za kishenzi sioni chochote Cha maana.Chadema hawana mgombea 😂😂
📌📌🔨Kwenye hizi siasa za kishenzi sioni chochote Cha maana.
Don’t bank on that.yeah D.Trump is back, God Bless D.Trump …
Wapinzani wenyewe hawaelewi nani wamsimamishe kuwa wakilisha kwenye u Rais
Samia hana mpinzani ila si kwamba anafanya vitu vizuri ila tu n hamna wakumrithi.
hivyo ataendelea tu huyo huyo sababu haonekan mbadala wake.
wangeruhusu Mgombea Binafsi 2025 yangeibuka majina mengi mazuri ila sababu katiba hairuhusu inataka watu wanaotoka kwenye vyama vya siasa.
2025 sioni chama pinzani cha kusimamisha mtu mwenye point kumshinda SAMIA.
Kwa ujumla wananchi wamepuuza siasa. Na hata akitokea mpinzani mwenye point kuliko Samia, Bado hakuna mazingira ya ushindani wa kweli Bali hadaa. Inshort hakuna uchaguzi Tanzania Bali kuna upuuzi wa kawaida sana. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha imani ya wananchi kwenye chaguzi zetu.Wapinzani wenyewe hawaelewi nani wamsimamishe kuwa wakilisha kwenye u Rais
Samia hana mpinzani ila si kwamba anafanya vitu vizuri ila tu n hamna wakumrithi.
hivyo ataendelea tu huyo huyo sababu haonekan mbadala wake.
wangeruhusu Mgombea Binafsi 2025 yangeibuka majina mengi mazuri ila sababu katiba hairuhusu inataka watu wanaotoka kwenye vyama vya siasa.
2025 sioni chama pinzani cha kusimamisha mtu mwenye point kumshinda SAMIA.
"No peace for the wicked".No peace of mind ??! 😱🙄
Ngoja tuone !!