Hivi mpinzani wa Rais Samia ni nani?

Hawajiamini

NEC yao, Polisi yao, Thiss Yao, MaDED wa kwao lakini Hofu Hofu Hofu imetanda.

Kula vitu vya dhulma.kuna gharama pia........Hofu
No peace of mind ??! ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ™„
Ngoja tuone !!
 
vyama vyenye dira, malengo, makusudi na madhumuni ya kujizatiti kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuwatumikia wanainchi, hakipoi wala kutulia kujipambanua na kujitambulisha kwa namna mbalimbali miongoni mwa jamii .....

vyama visivyo na uelekeo hukumbuka shuka asubuhi
 
Ni kazi ya wapambe tu yeye kama yeye hana mpinzani kwani hatogombea 2025.
 
Anajijua anatakiwa aachie ngazi ndio maana yeye na wapambe wake wanahangaika bure.
 
Vyama vya upinzani vimekuja na mkakati chonganishi na naona ni hatari sana kisiasa japo jamii inanufaika. Wakipata ishu wanaenda na ishu,mteule wa sekta husika (hapa wanagusa ya taaluma,kazi na maisha binafsi) na chama kabisa. Najiuliza kwa trend hiyo by 2025 nani atakuwa na credibility ya kumsemea? Yajayo yatatushangaza pengine.
 
yeah D.Trump is back, God Bless D.Trump โ€ฆ
Donโ€™t bank on that.

Hakika atapata nomination ya Republicans chama alichokiteka kwa mbwembe zake. LAKINI kwenye uchaguzi mkuu atarajie โ€œprotest voteโ€ kubwa toka kwa wananchi ambao wengi ni liberals.
 
Wapinzani wenyewe hawaelewi nani wamsimamishe kuwa wakilisha kwenye u Rais

Samia hana mpinzani ila si kwamba anafanya vitu vizuri ila tu n hamna wakumrithi.

hivyo ataendelea tu huyo huyo sababu haonekan mbadala wake.

wangeruhusu Mgombea Binafsi 2025 yangeibuka majina mengi mazuri ila sababu katiba hairuhusu inataka watu wanaotoka kwenye vyama vya siasa.

2025 sioni chama pinzani cha kusimamisha mtu mwenye point kumshinda SAMIA.
 

Upinzani wamsimamishe mgombea Sasa hivi? Kwani NEC wametangaza?. Ni CCM kwa uoga wao wameanza kampeni mapema.

Halafu wewe unamuona Samiah ana ushawishi gani?. Huyu Samiah hata akisimamishwa na Mzee wa ubwabwa hatoboi. Samiah ana ushawishi gani?
 
Nitashangaa Sana Samiah akichukua fomu 2025?. Nitashangaa Sana. Aondoke tupate rais atakaye shughulikia na matatizo ya wananchi moja kwa moja.
 
Kwa ujumla wananchi wamepuuza siasa. Na hata akitokea mpinzani mwenye point kuliko Samia, Bado hakuna mazingira ya ushindani wa kweli Bali hadaa. Inshort hakuna uchaguzi Tanzania Bali kuna upuuzi wa kawaida sana. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha imani ya wananchi kwenye chaguzi zetu.
 
PM achukue Maamuzi magumu aje CDM Hana Cha kupoteza, atachukua nchi mapemaa.....Hana kashifa ya wiziii ukiacha Uongo ambao unavumilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ