residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hahaaa.....uchawa na jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.PM achukue Maamuzi magumu aje CDM Hana Cha kupoteza, atachukua nchi mapemaa.....Hana kashifa ya wiziii ukiacha Uongo ambao unavumilika.
PorojoWatu sasa hivi wameamua kukimbiza mwizi kimya kimya broo......!!! Yani ukigeuka nyuma huoni anae kukimbiza....ila unaskia tu sauti ya mipigo ya hatua za miguu...!!! Very crucial technic brother.
Aende ACT au CUF, cdm hakuna nafasi ya hao matapeli toka ccm. Kosa la Lowassa halitakaa lirudiwePM achukue Maamuzi magumu aje CDM Hana Cha kupoteza, atachukua nchi mapemaa.....Hana kashifa ya wiziii ukiacha Uongo ambao unavumilika.
Usikalili Kila argument inalenga uchawa, Kaskazini hatokagi boya(chawa).Hahaaa.....uchawa na jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
MImi bora liende tu
...na ndizo zinazoringishiwa. Walalkin madhara yake rasilimali zimegawiwa.Pesa za kampeni ya mama" zinatoka arabuni