Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

bajeti ya Harusi yake nimesikia ni bilion 4 tshs. wewe mtoa post ujiulize sasa maana 2016 inasemekana alikuwa na bilion 8 sasa jiulize na hapa alipo amekuwaje??
 
Ukitaka hata Ww Unaweza Zimiliki just Sell an item worth $200 kwa Watu 5000 tu tayari unamiliki 1 million USD
 
Mkuu kama hutojali wewe ni jinsia gani?
Maana sidhani kama kuna mwanaume ambae atakaa na kuanza kufikiria na kumpigia makadirio pesa anazo miliki mwanaume mwenzake
Miccm haina haya, awamu hii wanachunguza account za wanaume hadi kwenye mabank ndio maana Kimei ameamua kuachia ngazi baada usiri wa wateja kuingiliwa
 
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mchawi sio lazima ashike tunguli
 
IMG_2109.JPG

Naomba uangalie hiyo $1M ni sawa na sh ngapi za bongo Kisha jiulize swali kama anauwezo wa kumiliki hicho kiasi au laa
 
Mondo ana mkwanja zaidi ya hip us dola milioni Moja mkuu Mungu kamjalia kati ya vijna WA kibongo kwenye tasnia ya muziki anaongoza
 
Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Acha masihara asingekua anatumia gari la zamani x6 2008,hela haijificha kwa yeyote mwenye pesa utaona maendeleo yke
 
Mondo ana mkwanja zaidi ya hip us dola milioni Moja mkuu Mungu kamjalia kati ya vijna WA kibongo kwenye tasnia ya muziki anaongoza
Uwezo anao ila hayo mahesabu hayapo kwa uwezo huo angeishi mbezi beach,mbweni beach,mikocheni sio madale kwenye mkondo wa maji alipojenga
 
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mara ya mwisho alikua na usd mil 4 (networth) ilikua mwaka 2015 sasa siku hizi cjui ana sh ngapi...
Lkn obvious zitakua zimeongezeka sababu madeal kama diamond karanga na ile champagne
 
wewe unatumia gari gani??

ujaona picha ya bil gates na zuckerberg wamevaa nguo za kawaida sana hazifiki hata usd 100

Acha masihara asingekua anatumia gari la zamani x6 2008,hela haijificha kwa yeyote mwenye pesa utaona maendeleo yke
 
wewe unatumia gari gani??

ujaona picha ya bil gates na zuckerberg wamevaa nguo za kawaida sana hazifiki hata usd 100
Jomba bill gates hata akivaa jeans ya levis hakuna shida ila huyo unaemsema angekua na hiyo cash ingeonekana,matunzo ya mtoto mpka mahakamani ndio atoe...huyo hana pesa
 
Back
Top Bottom