Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
bajeti ya Harusi yake nimesikia ni bilion 4 tshs. wewe mtoa post ujiulize sasa maana 2016 inasemekana alikuwa na bilion 8 sasa jiulize na hapa alipo amekuwaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U-TubeDiamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Miccm haina haya, awamu hii wanachunguza account za wanaume hadi kwenye mabank ndio maana Kimei ameamua kuachia ngazi baada usiri wa wateja kuingiliwaMkuu kama hutojali wewe ni jinsia gani?
Maana sidhani kama kuna mwanaume ambae atakaa na kuanza kufikiria na kumpigia makadirio pesa anazo miliki mwanaume mwenzake
Mchawi sio lazima ashike tunguliNauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Huyo jinsia yake itakuwa hii mpya CHOKOMkuu kama hutojali wewe ni jinsia gani?
Maana sidhani kama kuna mwanaume ambae atakaa na kuanza kufikiria na kumpigia makadirio pesa anazo miliki mwanaume mwenzake
Acha masihara asingekua anatumia gari la zamani x6 2008,hela haijificha kwa yeyote mwenye pesa utaona maendeleo ykeDiamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
Hahaaa wewe noma kwa kusifiabajeti ya Harusi yake nimesikia ni bilion 4 tshs. wewe mtoa post ujiulize sasa maana 2016 inasemekana alikuwa na bilion 8 sasa jiulize na hapa alipo amekuwaje??
Uwezo anao ila hayo mahesabu hayapo kwa uwezo huo angeishi mbezi beach,mbweni beach,mikocheni sio madale kwenye mkondo wa maji alipojengaMondo ana mkwanja zaidi ya hip us dola milioni Moja mkuu Mungu kamjalia kati ya vijna WA kibongo kwenye tasnia ya muziki anaongoza
Mara ya mwisho alikua na usd mil 4 (networth) ilikua mwaka 2015 sasa siku hizi cjui ana sh ngapi...Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Acha masihara asingekua anatumia gari la zamani x6 2008,hela haijificha kwa yeyote mwenye pesa utaona maendeleo yke
Jomba bill gates hata akivaa jeans ya levis hakuna shida ila huyo unaemsema angekua na hiyo cash ingeonekana,matunzo ya mtoto mpka mahakamani ndio atoe...huyo hana pesawewe unatumia gari gani??
ujaona picha ya bil gates na zuckerberg wamevaa nguo za kawaida sana hazifiki hata usd 100
Labda account ya instagramMbona hiyo pesa ya madafu jamaa mwaka jana account yake ilikuwa inasoma 19billions