ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Nliona sehemu moja ya uzwazi wanafanya sherehe mtoto amemaliza chekechea anaingia la kwanza. Tena watu wenyewe ni mafukari kweli kweli.Huo ujinga upo nchi nzima kwa sasa
Ni limbukeni wa elite class of wage earners kwa kiuchumi tunawaita "economic band wagon"Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumban karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Aina shida ni za kwao ila mtu a anacho hoji kina economic logic?Sioni shida kama familia ikifanya sherehe kwa mtoto wao kumaliza darasa la saba kwa sababu sio haramu, haimdhuru mtu. In fact watu wanaenjoy so hamna cha kuchekesha wala sio tatizo hata kidogo kusherehekea mtu kumaliza darasa la saba
Sio kila kitu ni lazima kiwe/kihusu economic logic,Aina shida ni za kwao ila mtu a achoo hoji kina economic logic?
Ni kweli ndo maana katika uchumi kuna mambo mawili bad spender and economical spender, vyote vina merits na demerits ni choice yako wewe kuamua kufanya ego satisfaction au logical/ economic satisfaction.Sio kila kitu ni lazima kiwe/kihusu economic logic,
vingine ni issue ya Self-satisfaction tu.
Naunga mkono hojaSio kila kitu ni lazima kiwe/kihusu economic logic,
vingine ni issue ya Self-satisfaction tu.
Hii kanuni wanatumbi tunatakiwa tufundishwe mashuleni kabisa.Minding your
OWN business
is a
FULL TIME JOB
Stay Employed!
ChaiNliona sehemu moja ya uzwazi wanafanya sherehe mtoto amemaliza chekechea anaingia la kwanza. Tena watu wenyewe ni mafukari kweli kweli.