Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Una shangaa la saba? Kuna jirani yangu hapa alimfanyia mwanae party kwa kumaliza chekechea.
Hakuna kitu kinaitwa bad spender kwenye maisha ya uhalisia ikiwa kitu hicho kinakupa furaha,Ni kweli ndo maana katika uchumi kuna mambo mawili bad spender and economical spender, vyote vina merits na demerits ni choice yako wewe kuamua kufanya ego satisfaction au logical/ economic satisfaction.
Kabisa hata mtu akipata constipation siku akipata choo akisheherekea hakuna tatizo kabisa .Una shangaa la saba? Kuna jirani yangu hapa alimfanyia mwanae party kwa kumaliza chekechea.
Kila kitu unachofanya inapaswa kuwa na "Economic logic?" Watu wanafanya ili waburudike, meaning they're willing to spend money for that. Kwa nini uanze kuhoji kuhusu economic logicAina shida ni za kwao ila mtu a anacho hoji kina economic logic?
Japo ni kweli ila kama atatiki ujinga ina athari kwenye maisha ya wengineHata akifungua akaunti JF unaweza kusherekea maana anakuwa Great Thinker...ni uamuzi tu kama kutiki itakapofika oktoba🐼✅
Wazazi Sasa hivi wanasomesha kwa tabu sana jamani acheni washerehekee tu.Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumban karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Kabisa bwashee,ukiona unaumia kwa maisha ya watu wengine au kwa matumizi ya hela za watu wengine,tambua kua wewe ni masikini au una roho ya kimasikini,mtu mwenye maisha magumu siku zote huwaona wanaotumia hela zao wapendavyo,hua wanachezea tu hela!Kabisa hata mtu akipata constipation siku akipata choo akisheherekea hakuna tatizo kabisa .
Naunga mkono hoja bwasheeKabisa bwashee,ukiona unaumia kwa maisha ya watu wengine au kwa matumizi ya hela za watu wengine,tambua kua wewe ni masikini au una roho ya kimasikini,mtu mwenye maisha magumu huwaona wanaotumia hela zao wapendavyo,kua wanachezea hela!
Msimamo ni ule ule no reforms no ElectionsJapo ni kweli ila kama atatiki ujinga ina athari kwenye maisha ya wengine
Hela imeingiaje hapo ili hali amesema hata ambao hawana wanakopa!Kutwa kufatilia ya watu, we unashangaa la saba watu tunafanya hadi ya chekechea tafuta ela
Wanakopa ili wapate burudani, what's wrong with that?Hela imeingiaje hapo ili hali amesema hata ambao hawana wanakopa!
Asante Sana mkuu nimekuelewa Sana nipo lindi sasa mwaka wa tano na Mimi huwa nahudhuria hizi shughuli kufurahia na kujipatia vi mwali..NI kweli kabisa kwa mfano ng'apa hapa Lindi kina mama wanapeana mpaka million 10Kwakuwa mada yako ime cite kusini ngoja nikupe experience kidogo ambayo naamin huijui na inaweza kubadili fikra zako juu ya kile ulichokiandika
1. Wendeshaji wakubwa wa hizo sherehe kwa kusini (sio mahafali pekee, ubatizo, birthday, kipaimara, kuchezwa nk) ni wanawake na huwa ni shughuli kwelikweli sio kitoto wanatumia hadi 1M+
2. Hizo huwa sio sherehe kama inavyoonekana machoni kwa wasiozijua kiundani, matukio hayo kama ubatizo, kumaliza chekechea, kumaliza la saba au kuchezwa husubiriwa kwa hamu ili kufanikisha azma husika (ambayo sio sherehe)
3. Kumbe azma husika ni nini?
Ni biashara, tena biashara kubwa sana. Mwanamke akienda kwenye sherehe ya mwenzake akatoa zwd elf50 kwa mfano, siku akifanya sherehe kwake naye ataletewa hyo elf50 au zaidi. Kwa hiyo hizo zawadi huwa sio zawadi kiuhalisia bali kukopeshana.
4. Nini hufanyika?
Kwa mfano mtu alialikwa na kutoa zawadi kwenye sherehe 60 na kila sherehe alitoa elfu50, akitaka kufanya jambo lake kwa mfano kununua kiwanja au kuanza ujenzi anatafuta tukio lolote litakalomwezesha kufanya sherehe. Hapo ndipo mtu anafanya birthday ya mwanae, au ya kwake au mahafali ya chekechea au la saba. Wale watu 60 aliowapa zawadi kwenye sherehe zao lazima wote awaalike na lazima wote watakuja na zawadi eitha kiasi kile kile alichowapa au zaidi hairuhusiwi kushuka. Kwahyo kutoka kwa hao pekee atapata zawadi ya 3M+ kabla hajapokea zawadi toka kwa ndugu jamaa na marafiki.
At the end unakuta hizo sherehe hutengeneza mamilioni ya fedha kwa wahusika na kuwawezesha kukamilisha mipango yao bila tabu.
Kwa biashara hii, kuna ubaya gani mtu akakopa laki tano ya maandalizi ya sherehe ya mwanae kumaliza darasa la saba huku akiwa na uhakika wa kupata mil3+?
Hiyo ndio experience ya sherehe za kusini, kuzielewa inabidi ujifuatilie kwa kina, huwa sio tu sherehe bali ni hiashara kubwa.
Ni ujinga na hufanywa na watu wajinga hata hizo sherehe sijui ubatizo,kipaimara, arobaini na hizi za shule kuitoa shule kuja kuifanyia nyumbani ni ujinga haijarishi wewe ni tajiri au ni maskini ni ujinga wala siwezi kuhudhuria kwenye ujinga wa namna hiiWanakopa ili wapate burudani, what's wrong with that?