FROZEN HEART
Senior Member
- Sep 8, 2024
- 181
- 248
Kakah sawa ni muhimu kufanya sherehe kama kumfariji mtoto ikiwa tu mna pesa ya kutosha.Yeah hakuna tatizo kabisa 1 mpaka 7 ni safari ndefu sana , hivyo wakisheherekea hakuna tatizo kabisa.
Kama mbaka ukope pesa ndiyo ufanye sherehe umuhimu unapotea na kuwa matatizo ya kujitakia.
Then subiria wakati wa kulipa hizo pesa ndiyo utakuja kuona huo ubaya, mara kitanda kimeuzwa ili kurejesha mkopo.
Ni hvy tu mkuu.