Ajabu sanaHaya ndio maisha halisi sasa.
Yale mengine ni maisha ya maigizo ya kujifananisha na wazungu ila wanachosahau ni kwamba wazungu wanafanya kila kitu kwa mahesabu yaani kila kitu kipo kwenye bajeti. Wakati Bongo mtu anafosi kufanya sherehe na akaunti yake haina kitu na hata kodi ya nyumba anadaiwa halafu anaalika watu nje ya nyumba waje kuselebuka hii ni akili au matope.
Kwa ninayo yaona Buguruni hiyo siyo chai mouuChai
Msiba pia ni sherehe mkuu.Tafuta hela kila tukio ni la kusherehekea isipokuwa msiba
ni ulimbukeni,kutambishana na majigambo hakuna kingine mkuu..Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
😀😀😃😃😃Huo ujinga upo nchi nzima kwa sasa
😀😀Kutwa kufatilia ya watu, we unashangaa la saba watu tunafanya hadi ya chekechea tafuta ela