Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

Ajabu sana
 
Unashangaa hiyo?
Jirani yangu mzaramo hapa,amefanya sherehe ya mtoto kugraduate nursery school.
Mpaka sare wameshona na majirani tumealikwa kula pilau.
 
ni ulimbukeni,kutambishana na majigambo hakuna kingine mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…