Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu.

Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.

Samahani ila hapo juu nimesahau jina lake maana simkumbuki kama nakisia
 
Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu .

Miraji ni jina lake halisi...

Yule bwana mdogo alikuwa mtukutu mno, kasumbua sana waalimu Mbuyuni Primary wakati huo mama yake (Mama Salma akiwa mwalimu pale Mbuyuni)...
 
Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu .

Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.

Samahani ila hapo juu nimesahau jina lake maana simkumbuki kama nakisia
Anaitwa Sheby
 
Kikosi cha mizinga kina Pina walimtolea diss track kabisa. Alikuwa anapenda sana Hip Hop
 
Oya Braza Miraji watu wamemisi utukutu wako njoo usumbue humu na fake I'd ila tahadhari sana usije ukamzingua dingi Yako humu maana nae ana ka fake I'd atakuzingua mzima mzima oohooo!
😁😁
 
Alisumbua kipindi mzee wake akiwa waziri, .. afterwards "alinyooshwa" na actually he changed akaacha utukutu wa ujana baada ya mzee kuingia magogoni 2005, ni phases tu vijana hupitia katika kukua kwao.
 
miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.
mh😂😂😂😂 hakuna mtoto wa kiongozi hapa bongo anaweza kufight kitaa zaidi anakuja kuwachora mnavyoundiwa future mbaya yeye yake inaundiwa miundombinu bora........

leo jiulize bado una fight nae
 
Alikuwa mpangaji mwenzangu flats za TBA Chole road Masaki miaka ya 2013 baadae akaja kulazimishwa kuoa baada ya harusi akaondoka pale mpaka leo sijui alihamia wapi
 
Back
Top Bottom