Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Arudi Home TanzaniaNi ruban huko Qatar
Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu .
Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.
Samahani ila hapo juu nimesahau jina lake maana simkumbuki kama nakisia
Anaitwa ShebyKabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu .
Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.
Samahani ila hapo juu nimesahau jina lake maana simkumbuki kama nakisia
mhππππ hakuna mtoto wa kiongozi hapa bongo anaweza kufight kitaa zaidi anakuja kuwachora mnavyoundiwa future mbaya yeye yake inaundiwa miundombinu bora........miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa nao kufight kitaa.