Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Mtoa post uje Pm tafadhali nna jambo lako!!
 
Suala la privacy humu ni kitu muhimu maana serikali zetu za Africa huku kwenye forums ndio wanashinda wakitafuta watu wakuwafungulia kesi, sasa wengekuwa open 🔓 minded kama wenzetu weupe hata mimi ningetumia ID halisi humu
 
Suala la privacy humu ni kitu muhimu maana serikali zetu za Africa huku kwenye forums ndio wanashinda wakitafuta watu wakuwafungulia kesi, sasa wengekuwa open 🔓 minded kama wenzetu weupe hata mimi ningetumia ID halisi humu
Yeah,sure...japo kuna umuhimu sana wakutambuana
 
Sijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.

Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.

Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
Habari ya jioni
 
Mmenikumbusha
Wapi @Zero IQ
Huyu mwamba asije kua alifumaniwa na mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Changamoto ya humu ni kwamba, hata kama mnaishi chumba kimoja huwezi kujua mwenzako anatumia jina gani.

Inawezekana mtu na mpenzi wake wote wamo humu ila hawajuani.

Kiufupi mtu anajijua mwenyewe na akifa pia anajijua mwenyewe. Inawezekana wewe mtoa post ni mwanangu, siku ukifa siwezi nikatangazai humu kwamba to yeye amefariki na hali sijui kama unatumia jina hilo.
Kiufupi kwa humu unajijua mwenyewe kama umekufa.

Labda mitandao mengine huku ya wakona facebook.
Hehehehehe
 
Back
Top Bottom