peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ni sawa na wazee,au punch university,huwa hawafiHumu watu hawafi huwa wanatoweka tu,kufa wanakufa mitandao mingine.au huko mitaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na wazee,au punch university,huwa hawafiHumu watu hawafi huwa wanatoweka tu,kufa wanakufa mitandao mingine.au huko mitaani.
😀😀😀🙌🏽Kiufupi kwa humu unajijua mwenyewe kama umekufa.
Mwendazake naye alikuwa member mzuri huku Jf.Sijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.
Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.
Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
Changamoto ya humu ni kwamba, hata kama mnaishi chumba kimoja huwezi kujua mwenzako anatumia jina gani.
Inawezekana mtu na mpenzi wake wote wamo humu ila hawajuani.
Kiufupi mtu anajijua mwenyewe na akifa pia anajijua mwenyewe. Inawezekana wewe mtoa post ni mwanangu, siku ukifa siwezi nikatangazai humu kwamba to yeye amefariki na hali sijui kama unatumia jina hilo.
Kiufupi kwa humu unajijua mwenyewe kama umekufa.
Labda mitandao mengine huku ya wakona facebook.
Ni ngumu sana kujua maana humu watu ni wengi, labda kwa wale unaofahamiana nao nje ya humu na unajua anatumia ID gani.
Jitu unalifuata Pm mzoeane unaomba hata mawasiliano muwe marafiki linakimbia kimbia tu sijui humu wote wahalifuSijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.
Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.
Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
Naomba huo uziKuna mke na mume waliwahi kuwa humu miaka ya nyuma bila kujuana kama wote wamo humu. Weekend moja wote wako nyumbani kila mmoja kwenye laptop yake. Mke akainuka kwenda jikoni mume akanyatia laptop ya mwenzie na kukuta yuko hapa na hivyo kujua ID yake.
Mume akajikausha lakini akaanza kufuatilia mkewe anaandika nini humu. Ndipo alipogundua jukwaa lake pendwa lilikuwa la mapenzi na alikuwa anasifia sana raha ya kuliwa tigo. Mume aliandika kwamba alikuwa amechanganyikiwa hasa ukitilia maanani yeye hafanyi uhuni huo wala hawajawahi kuzungumzia na mkewe. Sasa kama mke anasifia utamu wa kuliwa tigo nani anayemrusha roho yake kwa kumkuna hivyo.
Jamaa alikuwa mchangiaji mzuri sana lakini akapunguza sana uchangiaji wake na hiyo ID yake ikapotea kimoja. Hatukuwahi kujua kama ndoa yake iliendelea au la.
Naomba huo uzi
Naomba unisaidie namna ya kumpata mpenzi humu mkuu,if possible,ni PmKuna baadhi ya wana jukwaa tuna mawasiliano yao.
Wengine tunatoka nao kimapenzi, kwa hio wakiugua tunakuja kutoa taarifa
Wakiwa na birthday tunatoa taarifa.
Mmoja wetu akitangulia mbele za haki taarifa zinakuja kabisa.
ShukraniHata sikumbuki title yake, lakini ngoja nijaribu.
Huku Jf unaweza ukawa unamtafuta mapenzi ukajikuta unapelekwa segerea, uwe makini.Naomba unisaidie namna ya kumpata mpenzi humu mkuu,if possible,ni Pm
I love you honeyTaarifa atatoa mzee wangu Infantry Soldier ,na mimi hivo hivo
Usiku kuna mwanga ??? Kwani Mshana Jr anasemajeKama mtu ameamua kuwa anonymous hata kifo chake kiwe anonymous.
Wakatoliki sala ya usiku tunawaombea marehemu wote wa siku ile wapumzike kwa amani na mwanga wa milele uwaangazie.
Au lifunguliwe jukwaa la obituary waendazao habari zao zipatikane huko, kwani hakuna mtu anayeweza kuandika habari za kifo chake, lakini ustaarabu ukitamalaki Tanzania sote tutakuwa verified members kwenye JF.Sijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.
Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.
Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
Ni kweli unataja tu ID inatosha na sio kutoa historia ya maisha ya marehemu au location yake.Mimi kwa maoni yangu hata kama huko uraiani mnajuana kama mtu anafariki sana sana useme tu ID yake lakini kuweka majina yake ya kweli kama hakuwahi kukupa rukhsa ya kufanya hivyo si sawa.