Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Kuna mke na mume waliwahi kuwa humu miaka ya nyuma bila kujuana kama wote wamo humu. Weekend moja wote wako nyumbani kila mmoja kwenye laptop yake. Mke akainuka kwenda jikoni mume akanyatia laptop ya mwenzie na kukuta yuko hapa na hivyo kujua ID yake.
Mume akajikausha lakini akaanza kufuatilia mkewe anaandika nini humu. Ndipo alipogundua jukwaa lake pendwa lilikuwa la mapenzi na alikuwa anasifia sana raha ya kuliwa tigo. Mume aliandika kwamba alikuwa amechanganyikiwa hasa ukitilia maanani yeye hafanyi uhuni huo wala hawajawahi kuzungumzia na mkewe. Sasa kama mke anasifia utamu wa kuliwa tigo nani anayemrusha roho yake kwa kumkuna hivyo.
Jamaa alikuwa mchangiaji mzuri sana lakini akapunguza sana uchangiaji wake na hiyo ID yake ikapotea kimoja. Hatukuwahi kujua kama ndoa yake iliendelea au la.
Daah inasikitisha mbona, pole kwa huyo jamaa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni kweli unataja tu ID inatosha na sio kutoa historia ya maisha ya marehemu au location yake.
Ukiandika mwenzetu to yeye katutoka inatosha,la sivyo watu watakazana na PM wasijibiwe,wamlaumu marehemu pasipo sababu
 
Naomba unisaidie namna ya kumpata mpenzi humu mkuu,if possible,ni Pm
Mkuu kuna jukwaa linaitwa love connect.
Kuna majabali kibao yanapost vimemo kule

Ila all in all tread carefully.

Pisi zangu nyingi kali nazipata Mahali flani
FB_IMG_1620012422250.jpg
 
Sijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.

Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.

Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
Mshana Jr njoo utoe lecture huku
 
hivi jiwe ndiyo alikuwa anajiita Bia yetu? Au Kawe Alumni.

Maana siyo kwa kimya hiki.
 
Sijaanza leo kujiuliza,hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada....tunawezaje kutambua taarifa zake.Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.

Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama.Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.

Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.

#*Hivi wanawake xhida Iko wap Huko kwenu! Mna huruma na Kujali ndio ila xaxa hamsomeki Mkiombwa Namba kwa ajili ya mambo ya Dharula kama haya {Kifo, Kuumwa ,N.k) Hamtaki! asa xii Bora Kila Mtu Afee Kivyakeee•••••••
 
Ni kweli unataja tu ID inatosha na sio kutoa historia ya maisha ya marehemu au location yake.

Kama utaamua Kuleta Umbea wa kifo cha Member wa humu•••••• Basii Hakikisha unaleta Full Mkoko ili Tuamni
 
Kama utaamua Kuleta Umbea wa kifo cha Member wa humu•••••• Basii Hakikisha unaleta Full Mkoko ili Tuamni
Eti umbea wa kifo😂😂 Kuna vitu sio vya kudisclose ila kutoa tu taarifa watu wajue mwenzetu hayupo inatosha
 
#*Hivi wanawake xhida Iko wap Huko kwenu! Mna huruma na Kujali ndio ila xaxa hamsomeki Mkiombwa Namba kwa ajili ya mambo ya Dharula kama haya {Kifo, Kuumwa ,N.k) Hamtaki! asa xii Bora Kila Mtu Afee Kivyakeee•••••••
Ha ha haaa,aisee
 
Mtoa mada acha namba tuanze kufahamiana,,
Japo sio mhimu sana maana tutashindwa kufunguka kwa uwazi kwa vile tunafahamiana,ebu vuta picha ule uzi wetu was rickyboy wa kula kimasihara,,
Sasa mkifahamiana nahisi mengi yatabaki kuwa siri
 
Ushauri wako mzuri na umenikumbusha mbaliii!
JF itadumu ila members wake hawatodum milele
 
Back
Top Bottom