Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Mtoa mada acha namba tuanze kufahamiana,,
Japo sio mhimu sana maana tutashindwa kufunguka kwa uwazi kwa vile tunafahamiana,ebu vuta picha ule uzi wetu was rickyboy wa kula kimasihara,,
Sasa mkifahamiana nahisi mengi yatabaki kuwa siri
Sure yaan,nakuinbox soon
 
Hebu ongea na admin akupe utaratibu wa kuaga/kuagwa kama ukifa
 
Kama mtu ameamua kuwa anonymous hata kifo chake kiwe anonymous.

Wakatoliki sala ya usiku tunawaombea marehemu wote wa siku ile wapumzike kwa amani na mwanga wa milele uwaangazie.
Nilijua lazima utie neno la faraja hapa na mungu akubariki sana wetu mpendwa 🥰🥰
 
Back
Top Bottom