Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Wewe watu wamegonga hadi madwmu kumi humu humu

Unadhani watu hawajuani!!
 
Kuna mmoja nimesoma nae chekechea ha o level alinijua na Mimi nikamjua kwa mwandiko tu, nikifa atawaambia naye akifa nitawaambia, au vipi?
 
Kuna mmoja nimesoma nae chekechea ha o level alinijua na Mimi nikamjua kwa mwandiko tu, nikifa atawaambia naye akifa nitawaambia, au vipi?
Umetisha mkuu..mbona mwandiko ni mmoja humu?
 
ngoja nikaanzishe uzi unasema ivi humu mnawezaje kutambuana kijinsia?
 
Sijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.

Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama. Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.

Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
We Kufa tu tutajua
 
Mimi nikifa Kuna member wanne wananifahamu watakuja kutoa taarifa..🤔🤔but how watapata taarifa ikiwa namba zao nilifutaga.. sijui
 
Back
Top Bottom