Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sijui ilikuaje kufuta zile namba mweehKwann ufute jaman
Hili nalo neno ujue..🙏🏿Kila namba ina umuhimu wake kwa wakati wake cute
Njoo chukua namba tena.. Huku Kwa RuangwaHili nalo neno ujue..[emoji1545]
Ngoja nikupe usipate shida..0693357
Mimi sio mtaalam wa ku-bet sasa.. Ungemaliza tu.Ngoja nikupe usipate shida..0693357
Nimekuelewa mkuu@Nas Jr ...nilishatuliza mshono mbonato yeye umeanza siku nyingi sana habari za kutaka kufamiana...
Humu kuna majasusi,, Roho mbaya,,, Wauaji,, Wezi,, wala rushwa,,, wachungaji,,, Mabazazi,, Malaya pro max,,, Wahuni,,, mashoga,,, wapambanaji,, wanaolelewa... Na half matahira...
Swala la kufahamiana wameachiwa wachache sana so ni vigumu sana kujua... Na kuna ambao wanabidili ID kisa wamesahau password,, so ni ngumu kujua...
Jf member we all Die like a real men....anonymous
Wanajulikana tu kama wameshakufaSijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima.
Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu tu ambalo halihitaji gharama. Naamini pia tupo watu humu ndani twafahamiana vema kabisa hivyo tunapojuliana hali ni rahisi pia kujibiwa maswali yetu.
Hivyo hii ni nafasi yetu ya kutambua wenzetu waliopotea kusikojulikana kutambua waliko.
😂😂😂Embu subiri..kwanza🤔🤔hivi niliwahi kua nayo eti
😂😂😂Mimi mbona yako ninayo?
Utakuwa umeifuta yangu mdada mzuri...na lazima nikupe adhabu kuipata tena...kaone vile!! 😊
Hehehehe..😛