Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Wakenya tuliojiunga na JF njooni tufahamiane kdgo ikiwezekana tubadilishane na number kbsa,, this is a very serious matter indeed!
 
Mlevi Mmoja...? Where....? Jitokeze uondoe taharuki!
 
Nimekuelewa mkuu@Nas Jr ...nilishatuliza mshono mbona

Decision ya busara sana umefanya... Relax... fahamiana tu na wachache utakaovutiwa nao... Otherwise vunga tu tuendelee kuwa humu kama robots hehehe
 
Umesema kweli aiseh.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
mkuu kwa sababu humu JF wote ni matajiri na matajiri hawafi ila wanapoteza maisha kwahiyo turumie kauli ya kupoteza maisha endapo ID itakaa miaka kadhaa bila kufanya chochote tuanze na ID ya tajiri wa kudownload pesa
 
Inatakiwa tuwe tunaitwa majina. Kama hujaingia jf siku tatu ukikuta jina lako limeitwa unaitika hivi;
Mfano:
Luckyline............Abeeeeeeee
Au
Luckyline............juzi, jana na leo.
Nme kukabidhi hiki kitendea kazi
 
mkuu kwa sababu humu JF wote ni matajiri na matajiri hawafi ila wanapoteza maisha kwahiyo turumie kauli ya kupoteza maisha endapo ID itakaa miaka kadhaa bila kufanya chochote tuanze na ID ya tajiri wa kudownload pesa
Ha ha haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…