Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
Wasalaaam
Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au ni uthibitisho wa ile kauli ya asiyenacho hana thamani.. Karibun kwa maoni
NB:Tusikate tamaa ipo siku wageni watashindana kuhamia moja kwa moja majumbani kwetu