Kama huna pesa hata kama unakaa posta watasema shida kwako parking hakuna, foleni sana pale, Barabara mashimo sana, tunagonga sana mlango hamsikii, kiufupi hawatakuja watasema siku hizi kazi nyingi sana...Umbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.
Haiwezekani ukae Kerege halafu useme unatengwa wakati umeamuwa kujitenga mwenyewe.