Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
Umbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.Wasalaaam
Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au ni uthibitisho wa ile kauli ya asiyenacho hana thamani.. Karibun kwa maoni
NB:Tusikate tamaa ipo siku wageni watashindana kuhamia moja kwa moja majumbani kwetu
😀😀sawa mkuuUmbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.
Haiwezekani ukae Kerege halafu useme unatengwa wakati umeamuwa kujitenga mwenyewe.
Mtu wa hivyo, lazima anijibu nakaa mbali ukitokea wapi?Wasalaaam
Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au ni uthibitisho wa ile kauli ya asiyenacho hana thamani.. Karibun kwa maoni
NB:Tusikate tamaa ipo siku wageni watashindana kuhamia moja kwa moja majumbani kwetu
Kabisa mkuuMtu wa hivyo, lazima anijibu nakaa mbali ukitokea wapi?
Mtu wa hivyo, lazima anijibu nakaa mbali ukitokea wapi?
Ukiwa doni ata ukae msituni watakujaWw ndio unakaa mbali
Msitafute excuse za kijinga, sehemu nyingine ni za kuishi wastaafu.Mtu wa hivyo, lazima anijibu nakaa mbali ukitokea wapi?
Hahaha Sasa kwa mfano unakaa Kimbiji,Kibada au Unakaa Pugu huko Mtu anakaa Posta..Wasalaaam
Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au ni uthibitisho wa ile kauli ya asiyenacho hana thamani.. Karibun kwa maoni
NB:Tusikate tamaa ipo siku wageni watashindana kuhamia moja kwa moja majumbani kwetu
Yani kazini pesa inaishia kwenye nauli hiyo kazi ya nini sasa?Kwqko wala kazini kwako hakujawahi kuwa MBALI....lakini,za kuambiwa changanya na zako
DoktoriUmbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.
Haiwezekani ukae Kerege halafu useme unatengwa wakati umeamuwa kujitenga mwenyewe.
NImeipenda hii doktoriKingine kukwambia unakaa mbali inatagemea na nani ameanza Kukaa...
Kama yeye Alianza Kukaa Hiyo sehemu halafu Ukafuata wewe..
Yuko sawa kusema Unakaa mbali