Kama huna pesa hata kama unakaa posta watasema shida kwako parking hakuna, foleni sana pale, Barabara mashimo sana, tunagonga sana mlango hamsikii, kiufupi hawatakuja watasema siku hizi kazi nyingi sana...Umbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.
Haiwezekani ukae Kerege halafu useme unatengwa wakati umeamuwa kujitenga mwenyewe.
Kama ni hivyo, wale wanaokwenda kutibiwa India na huku wanaishi karibu na BoT, Muhimbili, etc vipi?Yaan kwa kifupi...upo mbali na huduma muhimu za jamii...banks, soko, hospitals, kituo cha polisi, mahakama..magereza..halmashauri...yaan kwa kifupi upo mbali na social services...
Kama city center huna shughuri nako, to hell na umbali..!! Ila kama mambo yako yote yapo city center, sawa. We mtu city center anakwenda mara moja kwa miezi mitatu au miwili, halafu upatumie kuamua wapi uishi, HUO NI UFALA..!!Umbali wa sehemu unapimwa kutokea City Center.
Haiwezekani ukae Kerege halafu useme unatengwa wakati umeamuwa kujitenga mwenyewe.
Umefikiri kabla ya kuandika?Kama ni hivyo, wale wanaokwenda kutibiwa India na huku wanaishi karibu na BoT, Muhimbili, etc?
Yes, kama ni huduma za hospitali, sijui benki sijui vikorokoro gani, UKIWA DON vitakufuata au utavifuata huko viliko.Umefikiri kabla ya kuandika?
Madon wanakaa town, Masaki, Obey, Mbezi beach na ununio.Yes, kama ni huduma za hospitali, sijui benki sijui vikorokoro gani, UKIWA DON vitakufuata au utavifuata huko viliko.