Kwanza ondoa mwanaume kwenye huo uzi.
Mwanaume hajawahi kupata changamoto km hiyo.
Kuhusu haki inabidi ujue kuna haki utazipoteza kwa maamuzi mabaya utakayofanya kwenye maisha yako sasa ili liweke akili kwanza na sio kulialia.
Kila kosa unalofanya litakugharimu sasa kwa kiwango gani inategemea sasa una hela kiasi gani,jasiri kiasi gani,jinsia gani,umri?elimu yako?
Tujifunze kubeba matatizo yetu na ku deal nayo.Mwanamke mwenye mtoto si sawa na ambaye hana narudia tena sio sawa kabisaaaaaaaaaa labda niseme kidogo hata mwanaume asiye na pesa hawezi kuwa sawa na mwenye pesa.
Hilo ni JICHO la jamii ndo linaonyesha hivyo.Jamii zote duniani zina operate kwa facts hizo lielewe hilo hlf likubali hilo dont expect much.