Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
 
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku hivi hii ni akili kweli yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
We mdogo wake na Natafuta ajira😅😅😅

Hizi hesabu za bodaboda zilinishinda

Ni bora niache kazi niliyo nayo niendeshe mwenyewe kama kwei kuna faida inayosemwa.
 
We mdogo wake na Natafuta ajira😅😅😅

Hizi hesabu za bodaboda zilinishinda

Ni bora niache kazi niliyo nayo niendeshe mwenyewe kama kwei kuna faida inayosemwa.
Huwa nashangaa unakuta mtu anamkabizi pikipiki mjinga mmoja anapiga nayo misele Kwa kigezo jioni amletee elfu 10 yaani Kuna watu kama wamerogwa
 
hii ndio level yako mdogo wangu cool dwn

Biashara kichaa hunitoi kwenye reli
 
Back
Top Bottom