Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

Hii biashara bhana, mkataba unaisha huna hela wala pikpiki

Elfu 10 kwa siku 28 ni laki na themanini, so miezi 10 inaleta 2.8m ( boxer ina 3.1m) kwahiyo faida ni kama laki 3 kwa mwaka ukiigawa kwa miezi 12 ya mwaka [emoji38]
Kutana na Mdangaji kahongwa boda boda humwambii kitu. Anakwambia kila siku nina ki elfu kumi changu.

Haoni kama ni hasara kwa kuwa kanunuliwa
 
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Kuna mjinga alikuwa ana bodaboda kumi, baasi mwenyewe alikuwa anajiona ana mradi wa maaana
 
Huwa wananifataga vijana kuomba tufanye hii kitu ya mkataba ila sojawahi kuielewa hii biashara.
 
Tatizo linaanzia hapo mkuu!!
Dada mzuri anapata laki tano anaingia kwenye biashara.

Gharama za usafiri to and fro laki moja.

Pesa za usafiri kapewa na danga lake.

Mzigo anakaa nao wiki mbili badi tatu anamaliza jumla mauzo laki 7.

Anajibu inaenda vizuri sana, nimenunua mzigo laki tano nimeuza laki 7. Faida laki mbili.
Maskini anasahau laki moja aliyohongwa na danga kulipia usafiri
 
Mleta mada huna hata laki 5, kama unabisha post hiyo laki 5 mimi naweka mil 1, na nikipost hiyo mil 1 wewe uweke kubwa zaidi hadi pale mtu atakapoishiwa.

N.b picha iwe na sign ya id

Lets go
Hahaha masikini bhana mnatabu 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu unafaunya utafiti kimkakati sana
Najua unataka ununue chuma

Ukinunua hiyo chuma nipo hapa sina ramani kwa sasa
 
Hii biashara ni kichaa na haina utetezi wa msingi
Unatoa mkataba wa 10 per day x 14 miezi

10x30= 300,000
300,000x14=4,200,000

Boder umenunua 2,800,000

Njoo toa 4,200,000-2,800,000=1,400,000

1,400,000÷420=3333tsh.

Ina maana ndani ya huo mkataba kila siku unalaza 3300 yako safi.

Wazeee hii biashara ni kujichosha bora ufungue hata genge kwa mtaji hata wa milion moja unapata zaidi ya uwekezaji wa bodaboda.

Bora inamlipa zaidi dereva na sio boss
 
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Pikipiki ni 3.5mil.

Mapato (hesabu) ni 10,000 Kwa miezi 18 = 5,470,000.

Faida ni 5,470,000 - 3,500,000
= 1,975,000

ROCE = 1,975,000/3500,000 x 100%
= 56.43%
Kwa wale wa Kubeti hii ni odds 1.56 kama kampuni uliobetia haina kodi.

Kupanga ni kuchagua, bet what you can afford to lose.
 
Back
Top Bottom