Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Biashara kichaaKila mtu ana fikra na malengo yake.Na wewe nunua ndege umpe rubani awe anakulipa kwa siku kama mnyoa kiduku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara kichaaKila mtu ana fikra na malengo yake.Na wewe nunua ndege umpe rubani awe anakulipa kwa siku kama mnyoa kiduku.
AiseeBiashara nyingi ni kichaa.
Mostly pesa zao za uchawi.
Mtu mwenye hesabu nzuri hawezi kufanya hivyo.
Akifa kwa lory first day ya mkataba bima ipi itakulipa?
Biashara haiwezi kupata ukichaa isipokuwa yule anayechaguachagua na kuzodoa muda wote wanaosaka mahela.Biashara kichaa
Biashara kichaaBiashara haiwezi kupata ukichaa isipokuwa yule anayechaguachagua na kuzodoa muda wote wanaosaka mahela.
Mmmmmm mental cases nyingi sanaa mijiniii ......kazi sanaaHuwa nashangaa unakuta mtu anamkabizi pikipiki mjinga mmoja anapiga nayo misele Kwa kigezo jioni amletee elfu 10 yaani Kuna watu kama wamerogwa
Biashara kichaaMmmmmm mental cases nyingi sanaa mijiniii ......kazi sanaa
Hahaha,mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake
Acha tu mda huo anapiga singeliHahaha,
Halafu baada ya muda fulani kiduku anajimilikisha hiyo pikipiki, aliyeinunua anabaki mtupu
Hahaha🤣🤣🤣🤣🤣Mwisho wa mwaka inakuwa yake. Faida Laki mbili
Introvert Gunner njoo kwenye ligi, nakusubiriMleta mada huna hata laki 5, kama unabisha post hiyo laki 5 mimi naweka mil 1, na nikipost hiyo mil 1 wewe uweke kubwa zaidi hadi pale mtu atakapoishiwa.
N.b picha iwe na sign ya id
Lets go
Hahahaha 🤣🤣🤣Hii ni biashara mbovu sana, basi tu lakini ni mbovu!
Nakushauri mambo ya Biashara uwaachie wafanya Biashara wewe endelea na yako ya mziki....Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Hii biashara uendeshe mwenyewe kama unaona huna optiin ya kazi nyingine. Kwa siku unakunja 30k umekosa sana ni 20kKasema ukweli mgumu ambao wawekezaji walioingia mkenge inawauma sana.
Nawapa pole na hongera 👏🏾 kwani
hakuna kujifunza au kufanikiwa bila udhubutu na kujaribu.
Ila mahesabu yako hivi.
Ukinunua piki piki ya 2.7M mpaka kurudisha hela yako ni miezi 9 ndipo hela ya pikipiki irudi na miezi 3 iliyobaki ndio uanze kula faida yako obviously laki tisa.
Hapo hujaingia gharama yoyote ya service ni umempa mtu pikipiki tu na umechukua chako siku zote hujampa hata weekend siku moja utawala binafsi yani siku saba za wiki unakamia shoo humu tuu 🤣🤣🤣🤣.
Hapo pia hajakupa visababu "Leo sijaenda job nilikuwa naumwa ,jana nlipata msiba sikuendesha,service juzi ilinikata nikakosa hata hela ya kula,juzi yake nilimgonga mtu bahati mbaya ikabidi nitoe hela yako kulipia matibabu & zingine kama hizo.
Labda kama utafanya roho mbaya mtu akizingua marejesho unavunja mkataba unampa mwingine ambayo pia ni hasara japo pikipiki utabaki nayo.
Hii kufuatilia marejesho ya pikipiki utapandisha presha bure ufe uachie ndugu zako wanagombania pikipiki zako🤣🤣🤣.
Mimi binafsi bora nilime mbogamboga kuliko hii biashara na sio kwamba naidharau ila hela yake ngumu sana labda kama wewe utaendesha.