Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

Mleta mada huna hata laki 5, kama unabisha post hiyo laki 5 mimi naweka mil 1, na nikipost hiyo mil 1 wewe uweke kubwa zaidi hadi pale mtu atakapoishiwa.

N.b picha iwe na sign ya id

Lets go
 
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Nakushauri mambo ya Biashara uwaachie wafanya Biashara wewe endelea na yako ya mziki....
 
Kasema ukweli mgumu ambao wawekezaji walioingia mkenge inawauma sana.
Nawapa pole na hongera 👏🏾 kwani
hakuna kujifunza au kufanikiwa bila udhubutu na kujaribu.
Ila mahesabu yako hivi.
Ukinunua piki piki ya 2.7M mpaka kurudisha hela yako ni miezi 9 ndipo hela ya pikipiki irudi na miezi 3 iliyobaki ndio uanze kula faida yako obviously laki tisa.
Hapo hujaingia gharama yoyote ya service ni umempa mtu pikipiki tu na umechukua chako siku zote hujampa hata weekend siku moja utawala binafsi yani siku saba za wiki unakamia shoo humu tuu 🤣🤣🤣🤣.
Hapo pia hajakupa visababu "Leo sijaenda job nilikuwa naumwa ,jana nlipata msiba sikuendesha,service juzi ilinikata nikakosa hata hela ya kula,juzi yake nilimgonga mtu bahati mbaya ikabidi nitoe hela yako kulipia matibabu & zingine kama hizo.
Labda kama utafanya roho mbaya mtu akizingua marejesho unavunja mkataba unampa mwingine ambayo pia ni hasara japo pikipiki utabaki nayo.
Hii kufuatilia marejesho ya pikipiki utapandisha presha bure ufe uachie ndugu zako wanagombania pikipiki zako🤣🤣🤣.
Mimi binafsi bora nilime mbogamboga kuliko hii biashara na sio kwamba naidharau ila hela yake ngumu sana labda kama wewe utaendesha.
 
Hii biashara bhana, mkataba unaisha huna hela wala pikpiki

Elfu 10 kwa siku 28 ni laki na themanini, so miezi 10 inaleta 2.8m ( boxer ina 3.1m) kwahiyo faida ni kama laki 3 kwa mwaka ukiigawa kwa miezi 12 ya mwaka [emoji38]
 
Kasema ukweli mgumu ambao wawekezaji walioingia mkenge inawauma sana.
Nawapa pole na hongera 👏🏾 kwani
hakuna kujifunza au kufanikiwa bila udhubutu na kujaribu.
Ila mahesabu yako hivi.
Ukinunua piki piki ya 2.7M mpaka kurudisha hela yako ni miezi 9 ndipo hela ya pikipiki irudi na miezi 3 iliyobaki ndio uanze kula faida yako obviously laki tisa.
Hapo hujaingia gharama yoyote ya service ni umempa mtu pikipiki tu na umechukua chako siku zote hujampa hata weekend siku moja utawala binafsi yani siku saba za wiki unakamia shoo humu tuu 🤣🤣🤣🤣.
Hapo pia hajakupa visababu "Leo sijaenda job nilikuwa naumwa ,jana nlipata msiba sikuendesha,service juzi ilinikata nikakosa hata hela ya kula,juzi yake nilimgonga mtu bahati mbaya ikabidi nitoe hela yako kulipia matibabu & zingine kama hizo.
Labda kama utafanya roho mbaya mtu akizingua marejesho unavunja mkataba unampa mwingine ambayo pia ni hasara japo pikipiki utabaki nayo.
Hii kufuatilia marejesho ya pikipiki utapandisha presha bure ufe uachie ndugu zako wanagombania pikipiki zako🤣🤣🤣.
Mimi binafsi bora nilime mbogamboga kuliko hii biashara na sio kwamba naidharau ila hela yake ngumu sana labda kama wewe utaendesha.
Hii biashara uendeshe mwenyewe kama unaona huna optiin ya kazi nyingine. Kwa siku unakunja 30k umekosa sana ni 20k
 
Back
Top Bottom