Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
SawaPole sana
Unaota weweUsikutr hata baiskeri hauna
Biashara kichaaIntrovert Gunner imetosha sasa tupumzishe.... 🤚🤚🤚🤚Imetosha
Biashara kichaaTuliosoma Business and ECONOMICS hatushtuki kuona mtu wa History na Civics akichambua mambo yetu...
Biashara kichaaWewe leo umekuwaje mkuu? Mbona...
We mdogo wake na Natafuta ajira😅😅😅Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku hivi hii ni akili kweli yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Huwa nashangaa unakuta mtu anamkabizi pikipiki mjinga mmoja anapiga nayo misele Kwa kigezo jioni amletee elfu 10 yaani Kuna watu kama wamerogwaWe mdogo wake na Natafuta ajira😅😅😅
Hizi hesabu za bodaboda zilinishinda
Ni bora niache kazi niliyo nayo niendeshe mwenyewe kama kwei kuna faida inayosemwa.
Biashara za kivivu sana. Tena unankuta mtu na utindio wake wa ubongo anajidai eti anaingiza buku 10 kila siku.Biashara kichaa
hii ndio level yako mdogo wangu cool dwnBiashara kichaa
Biashara kichaa hunitoi kwenye relihii ndio level yako mdogo wangu cool dwn
Rayvanny katoa album kali sana
Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milelewww.jamiiforums.com
Mwisho wa mwaka inakuwa yake. Faida Laki mbiliHuwa nashangaa unakuta mtu anamkabizi pikipiki mjinga mmoja anapiga nayo misele Kwa kigezo jioni amletee elfu 10 yaani Kuna watu kama wamerogwa
Muache ajichangamshe kijana wetu.Introvert Gunner imetosha sasa tupumzishe.... 🤚🤚🤚🤚Imetosha