Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kutana na Mdangaji kahongwa boda boda humwambii kitu. Anakwambia kila siku nina ki elfu kumi changu.Hii biashara bhana, mkataba unaisha huna hela wala pikpiki
Elfu 10 kwa siku 28 ni laki na themanini, so miezi 10 inaleta 2.8m ( boxer ina 3.1m) kwahiyo faida ni kama laki 3 kwa mwaka ukiigawa kwa miezi 12 ya mwaka [emoji38]
Kuna mjinga alikuwa ana bodaboda kumi, baasi mwenyewe alikuwa anajiona ana mradi wa maaanaKuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua
Kuna mjinga alikuwa ana bodaboda kumi, baasi mwenyewe alikuwa anajiona ana mradi wa maaana
Tatizo linaanzia hapo mkuu!!Shida watz wanahesabu mauzo na sio faida.
Dada mzuri anapata laki tano anaingia kwenye biashara.Tatizo linaanzia hapo mkuu!!
Hahaha masikini bhana mnatabu 🤣🤣🤣🤣Mleta mada huna hata laki 5, kama unabisha post hiyo laki 5 mimi naweka mil 1, na nikipost hiyo mil 1 wewe uweke kubwa zaidi hadi pale mtu atakapoishiwa.
N.b picha iwe na sign ya id
Lets go
Unajichekesha kwani wewe ni shoga au umetekenywa. Post hela yoyote mimi nitapost mara yake.Hahaha masikini bhana mnatabu 🤣🤣🤣🤣
Pikipiki ni 3.5mil.Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu duniani kama akili zao zimeshikiwa Kila mda anataka tu kuhangaishana na watu hivi mnyoa kiduku ni WA kumkabizi Mali Yako ya 3.5m hii ni biashara kichaa nyingine ambayo inafanywa na watu ambao hamnazo kichwani zimepungua