Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

Mwanamke ni kiumbe dhaif Hana maamuzi ni wa kupelekwa tuuuu, na kupangwa
Na mie ninakuambie, mwanamke wa kukubali kuwa mke wa tatu sijui huyo ndio wa kupelekwa tuu siku zote, hana maamuzi yake.

Umewahi kuona hapa Tanzania na kwingineko labda eti mwanamke mke wa tatu ni Mkurugenzi wa kampuni, au waziri au hata Mbunge kwa mfano? Na hata akibahatika kuwa mke wa tatu na kuwa na cheo fulani, basi atakuwa kiongozi wa mambo ya ajabu sana, maana wanawake wa hivyo huwa mara zote wana visirani visirani na visasi visasi sana. Huwa anaona kama kila mtu anamfanya piriton hivyo lazima ajitutumue
 
Pamoja na kubahatika kutembea tembea nchi za watu lakini bado ni kilaza mzuri tu.
Wanaume wa Uturuki hawaoi mwanamke zaidi ya mmoja eti kwa sababu wake zao hawataki bali hawaoi mwanamke zaidi ya mmoja kwa sababu sheria ya nchi yao hairuhusu,tofauti na hapo wangekuwa wanaoa vizuri tu maana wanawake hawajawahi kueleweka wanataka nn.

Kwa hiyo kuolewa uke wenza ni kutojitambua ila kutombwa hovyo hovyo mitaani na waume za watu ndo kujitambua sio?
Mwanamke hajawahi kujulikana ana taka nini na ndio maana binti hataki kuolewa lakini wakati huo anatembea na waume za watu,na kuna aliye olewa na bado anatembea na vijana ambao hawajaoa.

Maisha hayajawahi kuwa na fomla wapo walio olewa uke wenza na wanaishi maisha mazuri sana na wana injoi na wapo walio olewa kwa ndoa ya mke mmoja lakini cha moto wanakiona.
 
Kwahiyo km utaolewa peke yko haina shida
 
Sikujua ni sheria, wao wameniambia wasingekubali nikajua ni utashi wa wanawake! Sasa Turkey ni Waislamu, ina maana wanavunja sheria za Quran?
 
Mkuu,

Kwani lazima kila mtu aione dunia unavyoiona wewe?

Si haki yao kuamua wanavyotaka kuoa au kuolewa?

Wewe pia inawezekana kuna watu hawakuelewi kwenye mengi unayofanya ambayo ni haki yako pia.
 
Sheria za Uturuki haziruhusu mitaala. Sababu kubwa ni wanawake kuvutiwa na watu wenye mali. Iwe pesa au ng'ombe.
Je Kwani watu wanakua katika akili Gani mpaka kumuita mungu mtu ambae mcheza sinema na picha yake inawekwa kwenye nyumba za ibada na mzungu huyo mcheza sinema unampa heshima ya kua mungu na muokozo wako hivi inaingia alilini hivi unawezaje hasa na kwa kutumia akili hii hii tunayotumia kufikiri au wenzetu mna akili Nyengine mpaka munajua. A ujasiri huo wa kumuabudu decon kua ndio mkomboz wenu? Hebu tuanzie hapa kwanza akili Gani inatumika kuamin hiki mbona hata mtoto wa miaka Saba hawez kukubali hiki kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…