Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

Unataka kutuambia hao wanawake walikuwa wamekata tamaa ya kuolewa kama mke mmoja na wakaona ni afadhali kuolewa kwenye ndoa ya watu wengine ili wazae watoto wasio bastard?
Zamani ni tamaduni chache sana mme alikuwa na mke mmoja (monogamy was not a thing) na kuna jamii zilikuwa mtoto akizaliwa tu ameshachumbiwa, kumbuka na watoto walikuwa ndio nguvu kazi ukiwa nao wengi una watu wengi wa kulima na kufanya kazi hivyo utajiri (na mwanamke anayezaa sana huo ndio ulikuwa ufahari)

Kwahio waowaje karibia wote / wengi walikuwa na mke zaidi ya mmoja na wewe ukija option yako ni kujiunga kwenye hao wengine (unadhani maneno ya mwanaharamu yalitokea wapi)
Kwamba wanawake wanaoolewa mke wa tatu wa nne ni desperate women ambao wamekuwa rejected na single men?
Unaongelea lini ? Mimi nimekupa historia ya baadhi ya tamaduni na mabaki ya tamaduni hizo..., mpaka leo kuna jamii ikiona mtoto hajaolewa wanaona kama nuksi hivyo sababu katika tamaduni zao ni acceptable kuwa mke mwenza hio inakuwa option; Na kama nilivyokwambia mambo yanabadilika na binadamu ni social animals mzigo wa kuwa against jamii unawasukuma wengi kuendana na status quo; na issue ya muhimu kwao ni kupata kwake familia na watoto wake kutokuitwa wanaharamu... (a status among her peers)
 
Naongolea hawa wa sasa, yaani watu wanaoolewa kuanzia miaka ya 1990 ambao wengi wameenda shule. Walikubalije na wanakubalije leo kuolewa mke wa tatu au wa nne? Desperate?
 
Naongolea hawa wa sasa, yaani watu wanaoolewa kuanzia miaka ya 1990 ambao wengi wameenda shule. Walikubalije na wanakubalije leo kuolewa mke wa tatu au wa nne? Desperate?
Things are not black or white na kila case is different, na hapo unaongelea yule wa nne (kukubali) au yule wa kwanza kukataa wa nne asije ? Sababu kumbuka wa kwanza huenda asiwe na option (analazimishwa) kwahio itategemea jamii husika kama inakubali talaka / anaweza kuondoka n.k.

Yule wa nne na yeye atakuwa ana sababu zake; Ndio maana mwanzo kabisa nikauliza Ndoa ni Nini ?; Kwa wengine ni status ndio maana nikasema leo kuna wale wanaoingia na kukaa miaka michache ili wasepe na kwenda kivyao basi tu kuonekana walishakuwa Mrs fulani...

Mwingine ndio kapenda mtu mwenye wake watatu, sasa badala ya kuendelea kuwa mchepuko au kushikwa ugoni anaona kuhalalisha after all sio kwamba wote wanakwenda kuishi nyumba moja huenda kila mtu ana kwake na watoto wake.... na huenda at that given time yeye ndio anapewa muda na wale wengine kusahaulika
 
Waulize wanaoamini kuwa Yesu na huyo Deacon ni Mungu.
 
Kuna jamaa kaniambia mara nyingi mwanamke akiwa mke wa pili au watatu anakuwa mkatili sana. Nilipombishia akaniambia humuoni mke wa Hafidh?
Ndio nikashtuka kumbe! Lakini kumbe hata Hafidh mwenyewe simjui! Au huyo mkewe! Jee wewe unamjua unitonye?
 
Hapana bhana mi sina yoyote nimekuchagua wewe tu!, nilikuwa nakufuatilia toka zamani nikaona huna mambo mengi hivyo leo nakutangaza wewe ndio baby wangu wa humu!, asitokee yoyote kukushika wala kukutaka sawa Bantu wangu.?
And at this moment ndio Sonko atastep in kukichafua hadi ujute kumfuatilia kwa mawenge usione wakulungwa kwenye kona.
Tunasubirigi mjicomit ndio tulianzishe oya KENZY I wont guarantee you peace with Bantu Lady.
 
Sikujua ni sheria, wao wameniambia wasingekubali nikajua ni utashi wa wanawake! Sasa Turkey ni Waislamu, ina maana wanavunja sheria za Quran?
Hakuna wanapo vunja sheria kwasababu Quran haijamlazimisha mtu kuoa mke zaidi ya mmoja bali kuruan imempa uhuru mwanaume wa kuoa mwana mke zaidi ya mmoja ,na penyewe kwa mashariti na vigezo fulani hasa vya kiuchumi na kiafya sio una oa tu kisa dini imeruhusu.
Alafu Uturuki ni taifa lenye waislam wengi lakini linaongozwa kwa sheria za kimagharibi.
Pia yapo mataifa kibao yenye waislam wengi lakini haya ruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja mfano Tunisia ,na pia kuna mataifa yanayo ruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja lakini kwa mashariti.
Mfano Morocco unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja lakini ni razima mkeo wa kwanza akubali kwa saini maalumu tofauti na hapo ni big no sasa ww ndo utajua unampigeje saund mkeo ili akukubalie.
Kwenye nchi za ghuba kama Saudia ,UAE, Qtaar,Oman unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja lakini kwa vigezo vilivyo ainishwa na serikali kama hauna hivyo vigezo huruhusiwi.
Sio kama huku kwenye nchi zetu ambapo watu wanafanya mambo kiholela ,mtu anaoa kila siku kwa kisingizio cha dini.
 
Wanarogwa ndio maana wanakubali lakini kikawaida hawakubali.

Hili alishaniambia shehe mmoja wa BAKWATA rafiki yangu pale Morogoro.
😀😀hii hata mimi niliipata,,,,jamaa haendi direct kwa mke kumwambia, anapita kwa mtaalam kwanza wanamset, mambo yakikubali analetewa mwenzake na hapingi, dawa hata ikija kuisha huko mbeleni maisha yalishasonga
 
Hizo ulizo zitaja ni sifa za mwanamje yeyote haijalishi ameolewa au hajaolewa.
 
Kuoa wake wengi sio sawa, kuzaa watoto wengi kwa dunia ya sasa sio jambo la busara pia.
Suala la kitu kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mtizamo wa mtu binafisi.
Na ndo maana kuna wanaona kuoa hata huyo mwanamke mmoja haipo sawa ambao ni kataa ndoa.
Kuna wanaona sio sawa kuoa single mama,lakini kuna wengine wanaona singo mama ndo wanajua maisha hivyo ndo wanafaa kuolewa.

Alafu kingine mwanamke halazimishwi, kusema anabebwa kwa nguvu anapelekwa kwa mwanaume kwenda kuolewa uke wenza,tena unaweza kuta alisha wakataa wanaume kibao walio taka kumuoa akawakataa na akaenda kuolewa uke wenza.
Kuhusu watoto bado ni mtazamo binafisi tu mm kwa mtazamo wangu siwezi kuwa na utajiri wa kuanzia bilion 1 kwenda mbele alafu eti nizae watoto 2 tu kwangu mimi huo ni upumbavu ulio vuka mipaka,na kuendekaza uzungu wa kijinga.
 
Mie naona kuna shida mahali, mwanaume mzima unajifikiriaje au unavaaje viatu vya kike? Inaonekana ushawahi kufikiria unapelekewa moto (am sorry to say that I am trying to think loudly)

Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni suala la kimaumbile, hii ni kwa wanaume wote nakusudia hata wanyama.

Wanaume na wanawake tuna namna tofauti ya kufikiri na kuyaona mambo, Sisi ni wanaume na wao ni wanawake, hatuwezi kuwa sawa kamwe.

Mwanaume ambaye anachukia kuoa mke zaidi ya mmoja basi atakuwa na moja kati ya matatizo yafuatayo au yote;
1. Udini,
2. Mwanaume wa Daslam (Kinodoni) au
3. Muongo, anakataa hadharani ila ana msururu wa videmu na michepuko.

Naomba kuwasilisha.
 
Naongolea hawa wa sasa, yaani watu wanaoolewa kuanzia miaka ya 1990 ambao wengi wameenda shule. Walikubalije na wanakubalije leo kuolewa mke wa tatu au wa nne? Desperate?
Mkuu kwani elimu na masuala ya kuolewa yana mahusiano gani?
Ya kwamba unahitaji usome chuo kikuu ndo uweze kujua sitaili nzuri za kufanya mapenzi au kuweza kupika, au kumtunza mme, au kutunza watoto?
 
And at this moment ndio Sonko atastep in kukichafua hadi ujute kumfuatilia kwa mawenge usione wakulungwa kwenye kona.
Tunasubirigi mjicomit ndio tulianzishe oya KENZY I wont guarantee you peace with Bantu Lady.
Mh! kaa pembeni wewe wacha kiherehere sijakufata wewe nimemfata Bantu!, siwezi kupigana na kimtu ambacho bado kinanuka mikojo kuwa na adabu mbele ya wakubwa!.
 
Umalaya tu umekuzidi

Mbona hushangai wanawake wanaojiuza na wanagongwa na wanaume zaidi ya tano kwa siku?

Utakuta mnabanduliwa sana hadi k inapoteza elasticity Halafu mtu aliyeolewa unaanza kumnanga.

Nyinyi ni wale ambao Binti akiolewa mapema mnasema kaharakia maisha, akiwa analiwa umri huo mnaona sawa tu

NB
Hakuna aliyelezimishwa, kama huwezi tulia
 
Kuoa wake wengi sio sawa, kuzaa watoto wengi kwa dunia ya sasa sio jambo la busara pia.
Sio sawa kwa muktadha gani?

Mtu anaweza kukuambia wewe kumpangia yeye aoe vipi au azae vipi ndiyo jambo lisilo sawa hapa.
 
Mkuu nikurekebishe kidogo
Uturuki ni kulingana na Sheria zao, kikatiba kuoa MKE mmoja tu sio kwamba wanawake wanakataa bali ni katiba.
Halafu nna MASHAKA aidha umehadithiwa au umesikia ila kama ingekuwa Umetembea Kidogo ungejifunza kuhusu hayo ya Uturuki.
 
Maisha yapo hivyo, Kuna mtu anajiuliza huyo anayekupenda kakupendea nini?

Au huyo uliyempenda kapenda nini kwako?

Ukiona kwako halifai basi tuliza kijambio fanya unayoona yanakufaa
 
Hii inatoa mwanga mkubwa kwa wake za Manara , Mwijaku na dokta Mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…