Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa!

Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically.

Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii.

Sasa je hii ni kawaida hata kwenu wadau?
 
Screenshot_20250905-112009.png
 
Changamoto za afya ya akili huonekana pale unapofanya mambo tofauti na yanayokubalika na jamii fulani. Kujiongelesha peke yako hufanywa kwa kuwaza tu. Sauti hutumika pindi anapoongezeka mtu wa pili.

Ubaya wa changamoto ya afya ya akili ni kwamba mwenyewe unakuwa hujijui, ila wanaokuzunguka. Na ndiyo maana huwezi kuta mwenye tatizo hilo anaenda mwenyewe hospitali. Wengine hufikia kufungwa kamba na kuwahishwa hospitali, maana hali inakuwa mbaya zaidi.
 
Kuna siku nilikuwa shambani kwetu uko kijijini mbali,nilikuwa nachunga mifugo

Kuna mahali niliona punda wamekusanyika wengi sana ni kama wanashangaa nikasogea kwa ukaribu kumbe kulikuwa na punda amekufa hapo ambae hakuwa wetu.

Nilikuwa mwenyewe,hakika niliongea mwenyewe na kuongea na wale punda kwa muda mrefu sana,maana walikuwa hawataki kula mpaka nilivyokata miti na kumfunika yule punda ndipo waliondoka.
Picsart_25-09-04_19-30-22-447.jpg
 
View attachment 3466533
Pole ndugu.
 
Kwa sauti? Na unaweza kuji control? Maana mimi kuongea pekee yangu ni masaa 24 bila kuacha.
Kwa sauti ndogo na nikiwa peke yangu kama kuna kitu kiko kichwani kinahitaji suluhisho, nikipata faragha lazima nikiongeleshe.
Ila Kuna wakati wife huwa ananivizia naongea peke yangu....
 
Hahah dah pole ndugu.
Sasa mimi Kuna kipindi nakasirika nikiwa najipigisha stori...mara nafoka au hata kupiga kitu.
Nashindwa kuji control dah
 
Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa!

Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically.

Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii.

Sasa je hii ni kawaida hata kwenu wadau?
Ni uchizi stage ya kwanza
 
Back
Top Bottom