kelvinvevo
Senior Member
- Sep 12, 2021
- 132
- 439
Maana yake we ni genius.. usijali ikiwezekana zidisha kuongea..
We hufai kushirikishwa siri ya mtu wala kufanya vitu viovu maana 24hrs tu kila mtu atakua anajua🤣🤣🤣anyway poleMfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa!
Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically.
Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii.
Sasa je hii ni kawaida hata kwenu wadau?
Ahsante Tho Tuo. Point yako ina utani mkali😆😆We hufai kushirikishwa siri ya mtu wala kufanya vitu viovu maana 24hrs tu kila mtu atakua anajua🤣🤣🤣anyway pole
Kawaida tu hiyo, tena nyakati ambazo bajeti zinagoma ndo inazidi...Kumbe? Nilizani Nina tatizo. Umewahi kushuhudia mtu anaongea pekee yake?
Kama majenereta ya Kihansi siyo..!!!Kwa sauti? Na unaweza kuji control? Maana mimi kuongea pekee yangu ni masaa 24 bila kuacha.
Wahi MirembeMbona ni kawaida kabisa, kuna wakati huwa nachat mwenyewe kabisa.
Mirembe kufanya nini tena? Mawazo mengine hayahitaji mtu ama watu kukushauri, kujishauri mwenyewe inatosha.Wahi Mirembe
Hao ni punda au farasi?!Kuna siku nilikuwa shambani kwetu uko kijijini mbali,nilikuwa nachunga mifugo
Kuna mahali niliona punda wamekusanyika wengi sana ni kama wanashangaa nikasogea kwa ukaribu kumbe kulikuwa na punda amekufa hapo ambae hakuwa wetu.
Nilikuwa mwenyewe,hakika niliongea mwenyewe na kuongea na wale punda kwa muda mrefu sana,maana walikuwa hawataki kula mpaka nilivyokata miti na kumfunika yule punda ndipo waliondoka.
View attachment 3466533
Hata 2000 huna upite kule wakushike shati upige cha ukucha hata kimoja kwani mpaka hadi upige selfie au ndio upungufu wa akili?Wana jf wengi tuko ivoo, unachill magetoni mara chap unajipiga selfie moja mambo yaendee
View attachment 3466525