Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
 
Sio kila mtu ana kichwa cha biashara mkuu, japo kuweka 10M kwa malengo ya ujenzi ni jambo la ajabu sana maana after hiyo miezi 25 itakuwa imeongezeka kama 2M ambayo haiwezi fanya chochote kwenye ujenzi
Hapo kutofanya Chochote unamaanisha hiyo pesa haitonunua hata mfuko wa cement inamaana atakua kafanya kazi bure
 
Wewe ndo inabidi upewe shule kidogo. UTT ni kwa ajili ya long term plans. Kama ni mtu ambaye ukiwa na hela zinawasha mpaka uzitumie ndo uwe na amani haikufai. Japo malengo ya mil 10 kupata pesa ya ujenga kujenga kuna uwalikini
 
Hamna kitu hapo
 
Huenda hana taarifa sahihi, akidhani labda akitia 10M atakuja kuvuna 100M kwa hiyo miezi 25.

Mshauri atafute elimu sahihi na sio kumcheka.
nikiweka 20 mil now(compound interest) after 3 yrs ntapata ngapi mkuu
 
Mimi naona sawa. Ameona hivo awekee UTT. sio jambo baya..Hilo ndio wazo lake. Ila Kuna mwengine akipata iyo million 10. Ataweza fanya biashara anayoifahamu vizuri atengeneza faida kubwa zaidi ya iyo ya UTT. Tunatofautiana mawazo. Mwingine anabahati anawatu ambao au connections sahihi ya watu yakuweza kumsaidia kuzalishq iyo pesa mara mbili au zaidi ndani ya mwaka au mwezi. Msimlau uyo mtu. Ni swala lakuwa na pesa na mawazo ya biashara ni vitu viwili tofauti tusichanganyee mambo apo
 
Hana akili
 
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
Wewe umemshauri afanye nini?
 
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
Wewe ulitaka aweke wapi, usimtukane wakati hata hujampa better option Ili asiweke huko
 
UTT Kwa hela ndogo kama hiyo ni ujinga.UTT utafaidi kama utawekeza kuanzia milioni miamoja na kuendelea
 
Back
Top Bottom