Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mbona kama wewe ndio huna akili? Umeshindwa hata kusema kwa nini? Angefanyaje? Kama hakujiandaa na uwekezaji unaotaka wewe angefanyaje?Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini