Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?

Yeaah huyo bi dada ni mtu poa sana" hajuagi kukasrika .. ni moja ya hazina ya Jf. ..
hearly nakujua, naomba usimsumbue. Nina mpango wa kuoa hapo. Nakishauri utafuta mtoto wa Tanga mwingine. Isitoshe unao wengi.. Huyu niachie.. Sawa?
 
hearly nakujua, naomba usimsumbue. Nina mpango wa kuoa hapo. Nakishauri utafuta mtoto wa Tanga mwingine. Isitoshe unao wengi.. Huyu niachie.. Sawa?
hilo ondoa Mashaka nalo chief " hahaa ... wakunyumba Mzigua90 mimi nikama dada Yangu " ijapo kuwa shape yake inanitoaga udele lakini nimeshakula kiapo na nafsi yangu kuwa nitajitahidi kuendelea kumpa heshima yake " namimi sitaki kwenda kinyume na kiapo changu " maana nitakuwa nimeisaliti nafsi yangu " Aisee ....

hahaa hapo kwenye ninao wengi sina uhakika mkuu
 
Bikiriwa na njemba nyingine!!

Wewe unafanya na waliobikiriwa na baiskeli ??
 
Asante mkuu. Ubarikiwe hadi ushangae..
 
Bikra wewe inakusaidia nini?
Ni Heshima ya familia. Kwenu mahari inapangwa kutokana na bikra. Ukidanganya unabikra isipatikane unarudishwa kwenu. Siku ya ndoa unalala kwenue shuka jeupe, isipoonekana damu mwanamke imekula kwake na familia yake
 
Kumbe no hivyo tu,Mimi kwangu bikra haina maana yoyote ile
 
Gazeti ambalo hujalisoma hata kama ni la juzi siku ukilipata kwako ni jipya!Acha utoto mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…