Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?

Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?

Yalaaaaa "... ukisikia hivyo tu " tambua kuwa limempata/limewapata
 
Habari,

Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?

Halafu unajifanya kupendaaaa... Eti ukiachwa unapata presha, asipate presha alombikri upate wewe!!? Umama huo. Eti unaweka bifu na mwanaume mwenzio kisa chungu kinachovuja[emoji57]

Unajisikiaje kupitisha dudu yako kwenye mabaki ya njemba mwenzio? Kinyaa[emoji57]. Bado unatia Ulimi! Dunia simama nishuke.

Mtu hana bikra unamsifia kwamba kajitunza na ni mtamu.. Huo ni uongo. Siwezi sifia makombo..

Unajidai kupata demu mkali. Mungu akikufunulia waliopita hapo utakaa chini ulie. Vitoto vidogo lakini mashine zimechezewa sana.. mileage za kutosha tu. Hapa sijasema injini alizoshusha hadi hapo alipo..

Najua kweli umependa na husikii la mjumbe wala mpiga adhana, lakini kumbuka no matter how beautiful she is, someone somewhere is tired of her shit.
Bikra nyingine zinatoka kwa baiskeli tu....usiogope
 
Hao unaowatoa bikra waje kuolewa na nani sasa Kama muharibifu bado unazitaka bikra?
Mimi sio mharibifu. Halafu waambie wanaokufuatilia wote, wakukome. Nmeshaonesha nia na itatimia. So jitunze.
 
ombi lako halijakubaliwa jaribu tena baadae
hahaa ina maana umepewa kitengo cha kupokea maombi mbinguni ".... ndugu yako hapa nina mwaka wa tatu sina kazi na kesha kumuomba mungu lakini wapi".... ina maana haunisikiagi ... pumbavu sana wewe
 
Mimi sio mharibifu. Halafu waambie wanaokufuatilia wote, wakukome. Nmeshaonesha nia na itatimia. So jitunze.
heee hahaaa .. hana bikira huyo ...!!!, mbona umehubiri kile ambacho wewe mwenyew kina kushinda kukitekeleza !!!!?
 
hahaa ina maana umepewa kitengo cha kupokea maombi mbinguni ".... ndugu yako hapa nina mwaka wa tatu sina kazi na kesha kumuomba mungu lakini wapi".... ina maana haunisikiagi ... pumbavu sana wewe
ombi lako hata dalili ya kusikilizwa halina keep praying 😀😀
 
Tena unapata demu anaezungusha kiuno kaa feni ya mchina[emoji16][emoji16][emoji16]....we kama umepata bikir usitake kutuvunjia ndoa zetu
 
Back
Top Bottom