Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaMtoa mada umechezea jipu uchungu Jiandae,,,wengi wapo kanisani sasa ila wakitoka "Yajayo yatakufurahisha"
hahaaacomments ziwe fupi fupi nnakazi nayo
hahaaaBikra ni kama ajira tu ,hazipatikani kirahisi Siku hizi.But halua haina makombo!!
Bikra nyingine zinatoka kwa baiskeli tu....usiogopeHabari,
Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?
Halafu unajifanya kupendaaaa... Eti ukiachwa unapata presha, asipate presha alombikri upate wewe!!? Umama huo. Eti unaweka bifu na mwanaume mwenzio kisa chungu kinachovuja[emoji57]
Unajisikiaje kupitisha dudu yako kwenye mabaki ya njemba mwenzio? Kinyaa[emoji57]. Bado unatia Ulimi! Dunia simama nishuke.
Mtu hana bikra unamsifia kwamba kajitunza na ni mtamu.. Huo ni uongo. Siwezi sifia makombo..
Unajidai kupata demu mkali. Mungu akikufunulia waliopita hapo utakaa chini ulie. Vitoto vidogo lakini mashine zimechezewa sana.. mileage za kutosha tu. Hapa sijasema injini alizoshusha hadi hapo alipo..
Najua kweli umependa na husikii la mjumbe wala mpiga adhana, lakini kumbuka no matter how beautiful she is, someone somewhere is tired of her shit.
Mimi sio mharibifu. Halafu waambie wanaokufuatilia wote, wakukome. Nmeshaonesha nia na itatimia. So jitunze.Hao unaowatoa bikra waje kuolewa na nani sasa Kama muharibifu bado unazitaka bikra?
hahaa ina maana umepewa kitengo cha kupokea maombi mbinguni ".... ndugu yako hapa nina mwaka wa tatu sina kazi na kesha kumuomba mungu lakini wapi".... ina maana haunisikiagi ... pumbavu sana weweombi lako halijakubaliwa jaribu tena baadae
heee hahaaa .. hana bikira huyo ...!!!, mbona umehubiri kile ambacho wewe mwenyew kina kushinda kukitekeleza !!!!?Mimi sio mharibifu. Halafu waambie wanaokufuatilia wote, wakukome. Nmeshaonesha nia na itatimia. So jitunze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, mwili wangu ni zaidi ya hela. Hata hivyo nshampenda my wife to be Mzigua90. Ubarikiwe Mother, wewe ni “wife material”. Play safe.
ombi lako hata dalili ya kusikilizwa halina keep praying 😀😀hahaa ina maana umepewa kitengo cha kupokea maombi mbinguni ".... ndugu yako hapa nina mwaka wa tatu sina kazi na kesha kumuomba mungu lakini wapi".... ina maana haunisikiagi ... pumbavu sana wewe
Hahaa udugu na wewe ufeombi lako hata dalili ya kusikilizwa halina keep praying 😀😀
unauaje undugu kizembe hivi?? muombaji hachoki akichoka kapataHahaa udugu na wewe ufe