Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Angesamehe Kama mwane anavotushauli? Mwane Nan aneshauli???

Adam aliomba Toba na alisamehewa sjajua msamaha upi unaouzungumzia ww
 
IMG_7972.jpg

Huyu jamaa hakuna namna tunamuweza kiulaini. Just imagine Yesu mwenyewe akimuongelea analia, afu kuna mimi [emoji16]
 
Hiyo habari ya Adamu na Eva ni hadithi tu.

Hakujakuwa na Adamu na Eva kama mwanamme na mwanamke wa kwanza kama ilivyohadithiwa.

Kamsome James L Kugel katika "How to Read The Bible : A Guide to Scripture Then and Now"

Anza kwa kusoma jacket cover hapa.

How to Read the Bible

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
[https://www]

[emoji120][emoji91]
 
Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu.

Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa kupambana naye.

Kama Ibilisi aliweza kupigana vita kuu mbinguni akiwa na malaika wake sasa binadamu ataweza kweli kupambana na kiumbe kama hiki?

Kiumbe ambacho kiliweza kupambana na malaika wa Mungu na kikafanikiwa kuwashawishi baadhi ya malaika kwenye vita kuu mbinguni na wakaasi sasa wewe binadamu utaweza kweli kupambana na Ibilisi?

Kama mbinguni tu Ibilisi alisumbua sana ambako ndiyo kuna Mungu na malaika huku duniani tutamuweza kweli?

Kama Ibilisi anauwezo wa kuingilia mipango ya Mungu na kuiharibu kama ule wa bustani ya Edeni na Mungu hamfanyi chochote anaishia tu kuwapa adhabu zisizo na maana yoyote Adam na Hawa. Hiki kiumbe sisi binadamu tutakiweza kweli?

Ilifikia hatua Mungu mwenyewe aliamua kumtoa kafara mwanaye wa pekee( Yesu) ili aweze kupambana na Ibilisi ila mission ikabuma. Sisi binadamu tutaweza kweli kupambana na Ibilisi?

Hivi unajua kama Ibilisi anaongea na Mungu moja kwa moja? Maana yake Mungu na Ibilisi huwa wanaonana. Unajua mazungumzo ya Mungu na Ibilisi kuhusu Ayubu? Sasa sisi binadamu tutaweza kweli kupambana na Ibilisi anayeweza kuongea na Mungu moja kwa moja?

Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani?
Hapa binadamu tumeonewa sana.

Jukumu la kupambana na Ibilisi ni jukumu la Mungu mwenyewe na sio la binadamu hivyo Mungu amtoe Ibilisi duniani na akaishi naye mbinguni sisi huku hatumuwezi.

Ndio maana imekuwa ni kawaida tu kumkuta mtu ni mfia dini haswa ila ni mzinifu,muongo,muuaji,mchawi,tapeli,mwizi, mnafiki n.k.

Nani kakudanganya kuna binadamu anaweza kupambana na Ibilisi?
Mungu hawezi kukupa kitu ambacho hauwezi kupambana nacho.

Mwanadamu ana thamani sana. Na ndio maana Mungu alipokuumba anaijua thamani yako..kuwa unaweza kupambana na chochote kile ulimwenguni na kisikushinde...chochote kile.

Shetani mwenyewe anamtumia mwanadamu kukamilisha projects zake hapa duniani na penginepo ulimwenguni.

USIOGOPE, pambana na hali yako..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Duu ukitumia akili utagundua hii ni hadithi kama hadithi zingine. Mbona huyu Mungu anazidiwa akili hata na binadamu.?
 
Duuuh hapo kwenye kuthibitisha Mungu ni positive Energy ni shughuri nzito.
Shughuli nzito huwa ni kukanusha, ebu jaribu kuja na fact za ukanushi tuuone uwezo wako
Duu ukitumia akili utagundua hii ni hadithi kama hadithi zingine. Mbona huyu Mungu anazidiwa akili hata na binadamu.?
Ubaya wa akili it has limit na mwisho wa uwezo wa kufikiri ndio mwanzo wa akili ya alieiumba akili.
 
Ad hominem attack.

Lack of abstract thinking.

Lack of logical thinking.

Assumption before even questions.

Logical non sequitur.

Lack of definition.

Logical inconsistency and contradiction.

Assumption before even questions.

Assumption before even questions.

Kwq hqrqka tu, hayo ndiyo makosa ya kimantiki uliyoyafanya katika maandishi yako.
MUNGU YUPO.
 
Kwanza kabisa, kutomtambua Mungu si imani, ni kukosa imani.

Ukisema kutomtambua Mungu ni imani, ni sawa na kusema kunyoa kipara ni mtindo wa kusuka nywele.

Chanzo cha huyo unayemuita binadamu na huu ulimwengu mimi sikijui, na sijawahi kusema nakijua. Lakini najua si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.

Naweza kujua jibu fulani si sahihi, hata bila kujua jibu sahihi ni lipi.

Mathalan, ikiwa mama mzazi wa mtu ni lazima awe mkubwa kuliko huyo mtu, ukinionesha mtu wa miaka 30, halafu ukaniambia mtu huyu wa miaka 30 mama yake mzazi ni binti mchanga wa miezi 6 kwa wakati huohuo, nitajua binti mchanga huyo si mama yake mzazi mtu mwenye miaka 30.

Hata bila ya kujua mama yake mzazi mtu huyu mwenye miaka 30 ni nani.

Naweza kujua jibu fulani si sahihi, hata bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Chanzo cha binadamu hukijui ila umeshahitimisha hakuna Mungu,

Huo uwezo unaosema unaweza kujua jibu fulani si sahihi bila kujua jibu sahihi ni lipi na mfano ulioutoa.....Nna mashaka na wewe.

Pengine ndio nyie mawakala wa shetwani [emoji28]
 
Logical non sequitur, innumeracy, illiteracy.
 
Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu.

Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa kupambana naye.

Kama Ibilisi aliweza kupigana vita kuu mbinguni akiwa na malaika wake sasa binadamu ataweza kweli kupambana na kiumbe kama hiki?

Kiumbe ambacho kiliweza kupambana na malaika wa Mungu na kikafanikiwa kuwashawishi baadhi ya malaika kwenye vita kuu mbinguni na wakaasi sasa wewe binadamu utaweza kweli kupambana na Ibilisi?

Kama mbinguni tu Ibilisi alisumbua sana ambako ndiyo kuna Mungu na malaika huku duniani tutamuweza kweli?

Kama Ibilisi anauwezo wa kuingilia mipango ya Mungu na kuiharibu kama ule wa bustani ya Edeni na Mungu hamfanyi chochote anaishia tu kuwapa adhabu zisizo na maana yoyote Adam na Hawa. Hiki kiumbe sisi binadamu tutakiweza kweli?

Ilifikia hatua Mungu mwenyewe aliamua kumtoa kafara mwanaye wa pekee( Yesu) ili aweze kupambana na Ibilisi ila mission ikabuma. Sisi binadamu tutaweza kweli kupambana na Ibilisi?

Hivi unajua kama Ibilisi anaongea na Mungu moja kwa moja? Maana yake Mungu na Ibilisi huwa wanaonana. Unajua mazungumzo ya Mungu na Ibilisi kuhusu Ayubu? Sasa sisi binadamu tutaweza kweli kupambana na Ibilisi anayeweza kuongea na Mungu moja kwa moja?

Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani?
Hapa binadamu tumeonewa sana.

Jukumu la kupambana na Ibilisi ni jukumu la Mungu mwenyewe na sio la binadamu hivyo Mungu amtoe Ibilisi duniani na akaishi naye mbinguni sisi huku hatumuwezi.

Ndio maana imekuwa ni kawaida tu kumkuta mtu ni mfia dini haswa ila ni mzinifu,muongo,muuaji,mchawi,tapeli,mwizi, mnafiki n.k.

Nani kakudanganya kuna binadamu anaweza kupambana na Ibilisi?
dah heading yko imenifanya nmecheka na kufuatiwa na kusikitika sema ndo hvyo ndo mipango yake mungu
 
Unajuaje hii si hadithi uliyojihadithia mwenyewe tu? Au kuhadithiwa na mtu mwingine tu?

Unaniambia niachane na logic kwenye mambo ya imani.

Kuna kijana alijirusha kutoka ghorofani Morogoro road, akiamini kwamba ataishia salama kwenye Simtank. Akafa.

Hata yeye aliachana na logic ya fizikia na mahesabu. Akaenda kwa imani. Akiamini hatakufa.

Masikini alifariki.

Sasa, na wewe unaposema tuachane na logic kwenye mambo ya imani, unajuaje kwamba hujirushi kutoka kwenye ghorofa ukiamini Simtank litakuokoa, wakati ukweli wa logic unaonesha unakosea?
😂😂😂
 
Back
Top Bottom