The choosen one
Senior Member
- Dec 6, 2021
- 199
- 253
Inaonekana ndivyo ilivyokuwa ingawa hakuna ushahidi wa kimaandiko kuhusu hiloIbilisi alitupwa duniani kabla ya kuumbwa Kwa Adam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana ndivyo ilivyokuwa ingawa hakuna ushahidi wa kimaandiko kuhusu hiloIbilisi alitupwa duniani kabla ya kuumbwa Kwa Adam
Lakini ikumbukwe Mungu hakumlaani mwanadamu bali ardhi ndio ilibeba laana kwa ajili ya mwanadamu, Nyoka ndie alielaaniwa na baadae kaini ndio akawa mtu wa kwanza kulaaniwa yeye kama yeye na sio Adam and EveMambo yalianza kuharibika pale bustanini ambapo badala ya Mungu kutoa msamaha kwa adam na ev. Yeye akawamiminia laana.
Cha kwanza aliweka uadui kati ya mwanadamu na shetani
Pili akamwambia binadamu atakula kwa jasho atazaa kwa uchungu na hakika atakufa.
angesamehe kama mwanae anavyo tushauri tusamehe saba mara sabini Tusimge fika huku.
No one knows exactly if they do cooparate or not but we do believe God never cooperate with rebelsShetani na Mungu wanafanya kazi pamoja kila mmoja anamtegemea mwenzake. Hakuna Mungu bila shitani and vice versa is true. Bila uwepo wa shetani tusingeujua uwezawa Mungu hence tusingemtegemea Mungu. Sheta kuwepo duniani ni Plan ya Mungu
Haswa, maana huo uadui ndio unakufanya uwe na Will power ya kufanya au kutofanya kitu bila ya yeye kukutendesha kwa nguvu unless you were already possessed beforeHasinge weka uadui ndio Mambo yange buma mkuu.
Hii ni kweli mwanadamu mcha Mungu ana maadui wakubwa wanneTamaa zenu, mmekalia kumsingizia shetani.
Tusidanganyane uwezo wakuto tenda maovu tunao.
Kwa uchungu utazaa.. Kwa jasho utakula hizo ni laana za kwanza kabisa. Nami nitaweka uadui kati yako na nyoka yani uadui upo ni full struggle kuanzia huko mpka vizazi na vizazi uadui hauwezi kuisha hiyo amani itapatikanaje?Lakini ikumbukwe Mungu hakumlaani mwanadamu bali ardhi ndio ilibeba laana kwa ajili ya mwanadamu, Nyoka ndie alielaaniwa na baadae kaini ndio akawa mtu wa kwanza kulaaniwa yeye kama yeye na sio Adam and Eve
Umekaa ku kejeli tu.Kwa uchungu utazaa.. Kwa jasho utakula hizo ni laana za kwanza kabisa. Nami nitaweka uadui kati yako na nyoka yani uadui upo ni full struggle kuanzia huko mpka vizazi na vizazi uadui hauwezi kuisha hiyo amani itapatikanaje?
Alimwumba mwanadamu
Halafu akamwekea jaribu la tunda(hali akijua mwanadamu hawezi kutobooa lazima ataanguka tu)
Kisha anaenda kumwuliza maswali eti amefanya nini mbona anajificha?
Halafu anaadaa namna ya kumkomboa mwanadamu kwa kumtoa mwanae afe msalabani na baada ya huo ukombozi anamwacha humo humo duniani aendelee kupambana na ule uadui ulio wekwa mwanzo kule bustanini. Sijui kama unanielewa?
Umemaliza kujibu hoja?Umekaa ku kejeli tu.
Yako au yanguUmemaliza kujibu hoja?
Una mkata baba yako livealafu siku ya kiama unapigwa moto na uyo ibilisi,wengine hatumjui hata anafananaje.kwa kweli hao kina adam angemalizana nao uko eden sio kutuuzia kesi yao ambao hatukuepo
Acha uongo wewe. Ibilisi alikuwa mwanadam lakini ieleweke kuwa mwanadam wa kwanza kuubwa ni AdamIbilisi alitupwa duniani kabla ya kuumbwa Kwa Adam
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] jombiAcha uongo wewe. Ibilisi alikuwa mwanadam lakini ieleweke kuwa mwanadam wa kwanza kuubwa ni Adam
Shetani na Mungu wanafanya kazi pamoja kila mmoja anamtegemea mwenzake. Hakuna Mungu bila shitani and vice versa is true. Bila uwepo wa shetani tusingeujua uwezawa Mungu hence tusingemtegemea Mungu. Sheta kuwepo duniani ni Plan ya Mungu
Je sasa unaamini uchawi upo?Adam ni nani na unahakikishaje alikuwapo?
Generations sijui zimetokea wapi, kuna utata mwingi, lakini jibu la Mungu si sahihi.
Kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote aliyeumba dunia hii hayupo.
Hilo si jambo la imani tu, ni jambo la kimantiki.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Sasa hapo uchawi uko wapi ofsa?Je sasa unaamini uchawi upo?View attachment 2194575
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, kitu gani kinathibitisha uchawi hapo?Je sasa unaamini uchawi upo?View attachment 2194575
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Huko juu tunaambiwa mkono ulichezwa na dakika za mwisho kabisa zilionesha shetani anaenda ku win ile battle
Lakini plan B aliyokuja nayo Mungu ndio iliyokuja kubadilisha mchezo mzima. Pamoja na plan B hiyo bado kuna malaika ambao waliungana na shetani
Yani Malaika ambao miaka yote wamekuwa wakiishi kwa raha hawazijui shida na siku zote wanaonana na Mungu, walikuwa conviced na shetani na kumuona ni kiumbe ambaye alikuwa ana pambania haki yake ambayo ilidhurumiwa na Mungu.
Sasa kumbuka hao ni malaika ambao daily wanashinda na Mungu lakini bado waliungana na shetani
Vipi Mungu ashangazwe na sisi binadamu kushawishika na shetani katika mazingira ambayo kuna njaa, shida, magonjwa, vita nk hata huyo Mungu hatujawahi kumuona?
Round hii vita ikirudiwa kuna uwezekano mkubwa sana ushindi ukawa kwa shetani kwasababu mpaka sasa ana kundi kubwa la watu wanao msapoti
Kipindi kile alipata usumbufu kwasababu alikuwa outnumbered labda kama naye Mungu huko ajakaa kizembe kwamba anatengeneza watu wengine kisirisiri kwa ajili ya backup
Usha shindikanaga zamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, kitu gani kinathibitisha uchawi hapo?
Pia, sitaki kuamini, nataka kujua.