Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

Lakini ikumbukwe Mungu hakumlaani mwanadamu bali ardhi ndio ilibeba laana kwa ajili ya mwanadamu, Nyoka ndie alielaaniwa na baadae kaini ndio akawa mtu wa kwanza kulaaniwa yeye kama yeye na sio Adam and Eve
 
Shetani na Mungu wanafanya kazi pamoja kila mmoja anamtegemea mwenzake. Hakuna Mungu bila shitani and vice versa is true. Bila uwepo wa shetani tusingeujua uwezawa Mungu hence tusingemtegemea Mungu. Sheta kuwepo duniani ni Plan ya Mungu
No one knows exactly if they do cooparate or not but we do believe God never cooperate with rebels
 
Tamaa zenu, mmekalia kumsingizia shetani.

Tusidanganyane uwezo wakuto tenda maovu tunao.
Hii ni kweli mwanadamu mcha Mungu ana maadui wakubwa wanne
Nafsi yake,Mwili wake, Dunia na shetani wa baadae sana, which means hata shetani akiondolewa leo, still kutakuwa na dhambi tu za matamanio ya mwili, Matamanio ya kidunia.

Ndipo linapokuja swala la kujikana nafsi,kuutawala mwili,kuikataa Dunia na tamaa zake halafu mwisho ndiopingeni shetani naye atawakimbia

Shida inakuja wakati unampinga adui no4 wakati namba 1 ameshakuchakaza vibaya sana, 2 mbili ndio humuwezi kabisa no3 ndio kakuvuruga kabisa utamuweza wapi no4.

Naomba kuwasilisha.
 
Lakini ikumbukwe Mungu hakumlaani mwanadamu bali ardhi ndio ilibeba laana kwa ajili ya mwanadamu, Nyoka ndie alielaaniwa na baadae kaini ndio akawa mtu wa kwanza kulaaniwa yeye kama yeye na sio Adam and Eve
Kwa uchungu utazaa.. Kwa jasho utakula hizo ni laana za kwanza kabisa. Nami nitaweka uadui kati yako na nyoka yani uadui upo ni full struggle kuanzia huko mpka vizazi na vizazi uadui hauwezi kuisha hiyo amani itapatikanaje?

Alimwumba mwanadamu
Halafu akamwekea jaribu la tunda(hali akijua mwanadamu hawezi kutobooa lazima ataanguka tu)

Kisha anaenda kumwuliza maswali eti amefanya nini mbona anajificha?

Halafu anaadaa namna ya kumkomboa mwanadamu kwa kumtoa mwanae afe msalabani na baada ya huo ukombozi anamwacha humo humo duniani aendelee kupambana na ule uadui ulio wekwa mwanzo kule bustanini. Sijui kama unanielewa?
 
Umekaa ku kejeli tu.
 
alafu siku ya kiama unapigwa moto na uyo ibilisi,wengine hatumjui hata anafananaje.kwa kweli hao kina adam angemalizana nao uko eden sio kutuuzia kesi yao ambao hatukuepo
Una mkata baba yako live
 
Shetani na Mungu wanafanya kazi pamoja kila mmoja anamtegemea mwenzake. Hakuna Mungu bila shitani and vice versa is true. Bila uwepo wa shetani tusingeujua uwezawa Mungu hence tusingemtegemea Mungu. Sheta kuwepo duniani ni Plan ya Mungu

Kwahiyo Mungu na Ibilisi waliamua tu kugawana wateja si ndio?

Sasa hizi promo zote za duniani kuhusu Mungu na bado ibilisi anapata wanaomuunga mkono just imagine Ibilisi ana nguvu kiasi gani?
Kuna watu wanakesha wanasali na kuswali lakini Ibilisi anawanasa kwa sekunde tu

Unadhani uamzi wa Mungu kumleta Ibilisi duniania ulizingatia uhalisi wa namna binadamu alivyoumbwa au Mungu alifanya kwa hasira tu?
 
Je sasa unaamini uchawi upo?
Your browser is not able to display this video.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huko juu tunaambiwa mkono ulichezwa na dakika za mwisho kabisa zilionesha shetani anaenda ku win ile battle

Lakini plan B aliyokuja nayo Mungu ndio iliyokuja kubadilisha mchezo mzima. Pamoja na plan B hiyo bado kuna malaika ambao waliungana na shetani

Yani Malaika ambao miaka yote wamekuwa wakiishi kwa raha hawazijui shida na siku zote wanaonana na Mungu, walikuwa conviced na shetani na kumuona ni kiumbe ambaye alikuwa ana pambania haki yake ambayo ilidhurumiwa na Mungu.

Sasa kumbuka hao ni malaika ambao daily wanashinda na Mungu lakini bado waliungana na shetani

Vipi Mungu ashangazwe na sisi binadamu kushawishika na shetani katika mazingira ambayo kuna njaa, shida, magonjwa, vita nk hata huyo Mungu hatujawahi kumuona?

Round hii vita ikirudiwa kuna uwezekano mkubwa sana ushindi ukawa kwa shetani kwasababu mpaka sasa ana kundi kubwa la watu wanao msapoti

Kipindi kile alipata usumbufu kwasababu alikuwa outnumbered labda kama naye Mungu huko ajakaa kizembe kwamba anatengeneza watu wengine kisirisiri kwa ajili ya backup
 
Kama bado unaamini story za kusadikika kama za Mungu kweli upo zama za giza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…